Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Ni Amiri Jeshi Mkuu lakini Rais sio Mwanajeshi, Wala sio Askari....!!

Gwajima anazungumzia Mwanajeshi kuwa ndiyo Wazalendo halisi Kwa sababu wapo tayari kutoa Maisha Yao Kwa ajiri ya Nchi...!

Kama Bado hujamwelewa Gwajima basi ni Matatizo ya Akili Yako, sio shida zake.
 
Point yake Haina mashiko maana rais ni amri jesho kwaiyo automatic ni mwanajeshi
 
Kati ya watu wabaya sana ambao hawajawahi kupatikana Tanzania ni Gwajima. Anawachochea walinzi wetu waparaganyike ili waparaganye utawala. Yaani anataka kitokee kile cha Sudani. Hivi nyie wenye mamlaka mnasubiri nini?

Gwajima alikuwa kimya wakati Magufuli anawaengua wapinzani wooooote wagombea kwa sababu ya eti hawajui kusoma na kuandika kiasi cha kushindwa kujaza fomu za wagombea. Jamani nipeni urais japo kwa masaa 3 tu ili niitumie Katiba ipasavyo.
 
Mtatoa milio mingi kutoka kila tundu ya miili yenu dadeq.
 
Kati ya watu wabaya sana ambao hawajawahi kupatikana Tanzania ni Gwajima. Anawachochea walinzi wetu waparaganyike ili waparaganye utawala. Yaani anataka kitokee kile cha Sudani. Hivi nyie wenye mamlaka mnasubiri nini?

Gwajima alikuwa kimya wakati Magufuli anawaengua wapinzani wooooote wagombea kwa sababu ya eti hawajui kusoma na kuandika kiasi cha kushindwa kujaza fomu za wagombea. Jamani nipeni urais japo kwa masaa 3 tu ili niitumie Katiba ipasavyo.
Hata mimi nawaomba waondowe hayo majambazi ccm wafanye kama bukinafaso
 
Back
Top Bottom