Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 19,009
- 22,509
Alisomea wapi?Point yake Haina mashiko maana rais ni amri jesho kwaiyo automatic ni mwanajeshi
Alisomea wapi?Point yake Haina mashiko maana rais ni amri jesho kwaiyo automatic ni mwanajeshi
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Luca amjibu na huyu sasa.Kati ya watu wabaya sana ambao hawajawahi kupatikana Tanzania ni Gwajima. Anawachochea walinzi wetu waparaganyike ili waparaganye utawala. Yaani anataka kitokee kile cha Sudani. Hivi nyie wenye mamlaka mnasubiri nini?
Gwajima alikuwa kimya wakati Magufuli anawaengua wapinzani wooooote wagombea kwa sababu ya eti hawajui kusoma na kuandika kiasi cha kushindwa kujaza fomu za wagombea. Jamani nipeni urais japo kwa masaa 3 tu ili niitumie Katiba ipasavyo.
Aibu kwako wewe.Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Ndiyo kasema, au hukusikia alichosema tumwambie arudie. Ameeleweka au hajaeleweka hiyo haimuhusu. Wasiwasi wangu ni je, anaungwa mkono ? Au tutarajie taarifa mbaya.Kwa kuwa nchi inahitaji kuongozwa na wazalendo, hapo Gwajima anataka kutwambiaje?
Amiri jeshi mkuu kwenye makaratasi alichoongea Gwajima ni uhalisia ulishawahi kuona nchi Gani duniani imeingia kwenye machafuko raisi akachukua bunduki kuongoza msafara?Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Acha ufara wewe apa anaongea uhalisia siyo nadharia. Wakati tunapigana na Id-amin. Ulimuona nyerere popote akiwa na siraha? Zaidi ya kusema eti uwezo tunao, nia tunayo, na sababu ya kumpiga tunayo. Lakin alikaa ikulu na kula nyama choma. Au ulikuwa hujazaliwa bwege weeGwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Yaani hata mimi badala ya kushangaa nikamuonea huruma kwa kujiaibisha!Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Bora ulivyomueleweshaAmiri Jeshi Mkuu ni cheo cha kisiasa na siyo cha kitaaluma wee
View attachment 3407977
Inawezekana tukawa hatujui kuwa haya masuala wewe huyajui ila ikianza kuandika humu ndio tunahitimisha kuwa hujui!Amiri jeshi mkuu kwenye makaratasi alichoongea Gwajima ni uhalisia ulishawahi kuona nchi Gani duniani imeingia kwenye machafuko raisi akachukua bunduki kuongoza msafara?
Huenda anamaanisha kwamba, Wazalendo namba moja wainusuru nchi.Kwa kuwa nchi inahitaji kuongozwa na wazalendo, hapo Gwajima anataka kutwambiaje?
Nimecheka Kwa nguvu,We na Rais wako wote ni matahira ....yeye kakwambia kisiasa..... Amiri jeshi mkuu ambaye hajuibhata kupiga saluti?.
hakuna mtu mjinga kama sampuli ya kwako.Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Hivi raia wa Zambia anaweza kuwa amiri Jeshi mkuu wa nchi ya malawi?Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
alienda kwata liniGwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima