Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Gwajiboy ameamua liwalo na liwe
Maarifa yakizidi unaweza kua mjingaAkizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Tayari makamamda wapo upande wa mwanaccm aliewaibia jimbo pale Kawe. AAHAkizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Kweli shingo imebeba kitu kingine kizito ambacho hakina kitu......Amri jeshi sio mwanajeshi.Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Kwani ni kazi yake hiyo..Rais anaweza kuamua nchi iwe salama au isiwe salama kumbuka.Hivi Rais huyo anaweza kujitanguliza afe ili nchi iwe salama?
ilo swali ungemuuliza marehemu idd amin,gadafi na wanajeshi wote waliopindua nchi kama raisi alikuwa waziri mkuu baada ya kupinduliwaGwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Anakua huyo ambae ameongoza mapinduzi ...Hujajibu swali mimi nimekuuliza kuna amiri jeshi mkuu bila jeshi???
Leo hii jeshi likifanya coup nani anakuwa amiri jeshi mkuu?
Bishop ameanza uchonganishi kati ya Amirijeshi mkuu na Askari, anavyo define ni childish literal translation ya uzalendoAskofu wa mchongo

ni ngumu sana kumtenganisha Rais na Jeshi - Na siku ikifanikiwa tayari Jeshii litakuwa limefanya Uasi na kutakuwa na Rais Mwingine waliyemuweka wao.Kuna amiri jeshi mkuu bila jeshi?
Security details ya huyo mama yenu ikiondolewa saa hizi atakuwa anaitwa amiri jeshi mkuu bado?
Ndio maana kasema ikitokea vita wao watakuwa kwenye battlefield wakati yeye yuko mjini huko wamemficha na wanajeshi waliobaki.
Read between the lines.
kuna hoja fulani inatengenezwa ya kuchochea hisia za uasi kwenye jeshi - Askofu anaanza kutoka kwenye mstari (shida ni kuwa watanzania wengi hatusikilizi between the lines)Bishop ameanza uchonganishi kati ya Amirijeshi mkuu na Askari, anavyo define ni childish literal translation ya uzalendo![]()
Na ndio maana nikasema hakuna amiri jeshi mkuu bila hilo jeshi na jeshi ni la wananchi.ni ngumu sana kumtenganisha Rais na Jeshi - Na siku ikifanikiwa tayari Jeshii litakuwa limefanya Uasi na kutakuwa na Rais Mwingine waliyemuweka wao.
Kasahau Kabisa.... Alafu Mwishoni anauliza waandishi kuna swali lolote alafu Asante kumbe alikuwa mwenyewe Machimboni.Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Kwani mwanajeshi ni nani?Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.
Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.
Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Amiri jeshi mkuu anaenda ktk uwanja wa vita?Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
hapana Mkuu: Amiri Jeshi Mkuu ni zaidi ya hilo Jeshi kwa context (kuna vitu Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuvicommand ambavyo Jeshi in isolation haliwezi kama kuanzisha vita nk nk) kuna namna unamtazama amiri Jeshi Mkk kama Rais Samia (ambaye labda haumkubali) lakini kwa context Amiri Jeshi Mkuu ni mwakilishi namba moja wa Wananchi. Mtu mwingine akienda na logics zako hizi anaweza kusema pia hakuna Jeshi bila Wananchi ---- itakuwa ni kutafuta sequence isiyo na maana kabisaNa ndio maana nikasema hakuna amiri jeshi mkuu bila hilo jeshi na jeshi ni la wananchi.
Nchi haiwezi kuwa na CinC wawili hivyo aliye na support ya jeshi [jeshi la wananchi] ndio anakuwa amiri jeshi mkuu bila backup ya jeshi hilo hawezi kuwa it is simple as that!hapana Mkuu: Amiri Jeshi Mkuu ni zaidi ya hilo Jeshi kwa context (kuna vitu Amiri Jeshi Mkuu anaweza kuvicommand ambavyo Jeshi in isolation haliwezi kama kuanzisha vita nk nk) kuna namna unamtazama amiri Jeshi Mkk kama Rais Samia (ambaye labda haumkubali) lakini kwa context Amiri
Watu wakiunda militia na kujitenga na kufanya guerilla warfare na wakawa na support ya kanda [mikoa 15] mkuu wao utasema ni amiri jeshi mkuu? huku ukanda mwingine akiwa hana support kubwa kuliko yule ambaye ndio ana support kubwa hadi kuwa CinC?Jeshi Mkuu ni mwakilishi namba moja wa Wananchi. Mtu mwingine akienda na logics zako hizi anaweza kusema pia hakuna Jeshi bila Wananchi ---- itakuwa ni kutafuta sequence isiyo na maana kabisa
haiwezekani kuwa na CinC wawili - anakuwa Mmoja na huyo ndiyo anakuwa namba 1 wao Wanamlinda na wanahakikisha hadhuriki) kumdhuru yeye ni kuidhuru Nchi - Period. (so unawezaje kujaribu kumtenganisha mtu huyo na wao tena kwa kusema tu kwenye PC)?Nchi haiwezi kuwa na CinC wawili hivyo aliye na support ya jeshi [jeshi la wananchi] ndio anakuwa amiri jeshi mkuu bila backup ya jeshi hilo hawezi kuwa it is simple as that!
hii kw aTanzania haiwezekani kwa sasa - tuongee mambo yanayowezekana.Watu wakiunda militia na kujitenga na kufanya guerilla warfare na wakawa na support ya kanda [mikoa 15] mkuu wao utasema ni amiri jeshi mkuu? huku ukanda mwingine akiwa hana support kubwa kuliko yule ambaye ndio ana support kubwa hadi kuwa CinC?
Amuachie LissuMkoloni kaburu toka Zanzibar aache Tanganyika iwe huru