Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Askofu Gwajima: Rais Sio mzalendo namba moja nchini, Mwanajeshi ndio mzalendo namba moja

Nchi haiwezi kuwa na CinC wawili hivyo aliye na support ya jeshi [jeshi la wananchi] ndio anakuwa amiri jeshi mkuu bila backup ya jeshi hilo hawezi kuwa it is simple as that!

Watu wakiunda militia na kujitenga na kufanya guerilla warfare na wakawa na support ya kanda [mikoa 15] mkuu wao utasema ni amiri jeshi mkuu? huku ukanda mwingine akiwa hana support kubwa kuliko yule ambaye ndio ana support kubwa hadi kuwa CinC?
Ni sahihi kwa muktadha huo,kimataifa na kikatiba anabaki kuwa CinC hadi itokee referendum na ikubaliwe kujitenga,refer John Garang,Salva Mayardit na yaliyotokea Sudan
 
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.

Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.

Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Haelewi chochote kuhusu wanajeshi
Kwanza mshahara na marupurupu ni siri kati ya mwajiriwa na mwajiri tu sio mtu wa nje akiwemo yeye.Anajua viwango vya mishahara na marupu rupu wanayopata kwa kila ngazi na kila cheo? Amevitoa wapi wakati ni siri?

Pili jeshi lina vikosi vingi mno viko vinavyojulikana na visivyojulikana kwa Raia wengi akiwemo yeye

Kiongozi wa Jeshi hata akihamishwa au kuvuliwa cheo ni uhamisho tu anahamia kwingine ambako sio Lazima uwe raia au Gwajima ajue

Mambo jeshi mengi siri .Gwajima mjinga anadhani hqta mkuu wa majeshi akiteuliwa leo kesho akaondolewa kwa upumbavu aliinao Gwajima anadhani kaonewa

Anajitia ujuaji mwingi.Mtaka yote hupoteza yote
Kapoteza nafasi ya kisiasa na kanisa limefutwa kwa upumbavu haelewi kaitwa na Mungu kanisani au siasa

Tatizo la masharti ya makafara .Makafara yake yame expire na Mganga aliyempa alishafariki kashindwa ku renew ndio maana kila upande anapigika kanisani na kisiasa
 
Amiri Jeshi Mkuu ni cheo cha kisiasa na siyo cha kitaaluma wee
Wewe akili huna unadhani Jeshi ni JWTZ tu kuna wana taaluma za kijeshi wako usalama wa taifa na vyeo vizito

Kwa taarifa yako hakuna Raisi aweza tawala Tanzania kama sio usalama wa Taifa au mwanajeshi
Tanzania haiwezi pata raisi mwehu tu toka mtaani kama Lisu nk

Tanzania imejipanga ndio maana unaona hii amani iliyopo

Uraisi sio cheo cha kisiasa kwa Tanzania
 
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.

Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.

Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Amiri jeshi mkuu ni nani?

Mwamba naishi wa mapema sana aisee
 
Hawezi kuiingilia mahakama, we ulimtuma kufanya uhaini?
Lissu domo siyo Mhaini

He is a confused frustrated and deluded citizen asiyejua limits zake

Which is okay because zile risasi kamwe haziwezi kukua lcha ukawa normal

Alifanyiwa ushenzi sana

Kinachoendelea mahakamani ni kukumbushwa tu what contitute uhaini and what not

Soon atarudi mtaani na iuwa mpole Kama baba ndubwi
 
We aliyeweza kufanya hivyo ni magu tu.
nimekuja kugundua MAGUFULI ndio alikuwa MZALENDO namba moja na si kwamba alikuwa mzalendo pekee tu BALI ALIKUWA MPINZANI halisi akiwapinga ma cartel/syndicate MAFISADI NA MAJIZI ya nchi hii,na ndio maana nguvu nyingi ikatumika kumchafua kwenye mitandao kama twitter ,siku hizi sisikii hata kigogo2014 akiongea madudu yanayofanyika awamu hii ambayo ni mengi na makubwa kuliko kuliko awamu zote.
MAGUFULI ALIJITOLEA MAISHA YAKE KWA AJILI YA KULINDA RASILIMALI ZA NCHI HII...bandari,madini,mbuga za wanayama..N.K
kitu kilichomchafua sana ni kikundi cha watu wasiojulikana matukio ya utekaji waliokuwa wanamkosoa wapinzani,na kukandamiza demokrasia kufuta upinzani...kuanzia serikali za mitaa mpaka wabunge bunge la chama kimoja.
KUHUSU UZALENDO alikuwa mzalendo kweli kweli na alisema akiondoka tutamkumbuka...mafisadi na majizi pekee ndiyo yalikuwa hayampendi na pengine ndiyo yaliyomuhujumu.

View: https://youtu.be/5HiTEZ2P-kQ?si=Zwuyjd2EJGK-Iy2N

View: https://youtu.be/pD7WPrWLZ2w?si=-1VgkPWn9-ZY9Cuu
 
Hakuna mwanasiasa mzalendo, labda Kwa wanaotetea haki za watu na Mali za umma. Kitendo Cha mtu kutoa uhai wake sio kigezo Cha uzalendo. Wapo wanaotoa uhai wao kutetea maslahi yao(nafasi) zao huo sio uzalendo.

Uzalendo gani wa kutesa wengine ili usiwe na uwanja sawa katika siasa? Hakuna uzalendo hapo
 
Gwajima hajui Kama Rais ni amiri jeshi mkuu....hii ni aibu kwa mtu mzma Kama Gwajima
Hiki ulichoandika hakina utofauti na yule Tax waziri wa ulinzi afu hajui hata kutumia darubini 😂
 
Ni sahihi kwa muktadha huo,kimataifa na kikatiba anabaki kuwa CinC hadi itokee referendum na ikubaliwe kujitenga,refer John Garang,Salva Mayardit na yaliyotokea Sudan
Basi point yangu ni kuwa hakuna CinC bila jeshi ndio maana hata Samia na Mgufuli waliwahi kutinga sare za TPDF na sio za MT,PT maana kisheria jeshi ni JWTZ wengine ni paramilitary.

National defence act inasema hivi .

Subject to the powers and authority conferred on the President and Commander-in-Chief by the Constitution and this Act, the Minister shall have the control and management of the Defence Forces and of all matters relating to national defence, including preparations for civil defence against enemy action, and shall be responsible for the construction and maintenance of all defence establishment and works for the defence of Tanzania.
 
Gwajima namuona.mnafiki na asiyejua nini anatafuta. Maoni kwa gwajima naungana kabisa na fatma karume
 
Akizungumza na wananchi, Mbunge wa Jimbo la Kawe kupitia tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema Rais sio mzalendo namba moja. Wanajeshi ndio wazalendo namba moja kwa kuwa wanatoa uhai wao ili kuilinda nchi.

Hata hivyo amesema kisiasa Rais anaonekana ni mzalendo namba moja. Nje ya siasa, wanasiasa sio wazalendo. Gwajima ametoa wito wanajeshi walipwe vizuri ili wawe na maisha mazuri kwa kuwa wao wanalinda nchi usiku na mchana.

Amesema haya alipokuwa akizungumzua suala la kuwalinda wakuu wa majeshi ya nchi dhidi ya mamlaka zinazowateua ili wasiwe wanaondolkewa kiholela.
Kwani yupo nchini!!??
 
Kwani yupo nchini!!??
Gwajima Yupo anaishi nyumba mapadri wa katoliki
Yuko anahangaika kutaka kukimbia nchi kwenda uhamishoni kama mkimbizi wa kisiasa

Mawakili wa mambo ya Immigration Wakenya chini ya Profesa Wajackoyah wanamtafutia hifadhi Canada na ubelgiji
 
Back
Top Bottom