Askofu Gwajima sasa kama huogopi na uko nchini inakuwaje hujitokezi hadharani kuyasema unayoyasema na unajifichaficha tu kama Digidigi?

Askofu Gwajima sasa kama huogopi na uko nchini inakuwaje hujitokezi hadharani kuyasema unayoyasema na unajifichaficha tu kama Digidigi?

Gwajiboy alisema yeye hatekwi kifala fala kama vile watekaji wanaenda kuteka ng'ombe.

security profile yake iko vizuri watekaji lazima wahangaike na walinzi kwanza kabla hawajamfikia.
 
Gwajiboy alisema yeye hatekwi kifala fala kama vile watekaji wanaenda kuteka ng'ombe.

security profile yake iko vizuri watekaji lazima wahangaike na walinzi kwanza kabla hawajamfikia.
Maisha halisi ni kuishi kwa furaha na amani sio kujificha ficha kama n......
 
Nawaonea sana Huruma na Kuwadharau pia wale Majuha (Fools) wote wanaomuamini huyu Mnafiki kama wa Ununio.
pekee yake apambane na jeshi ? kwann Mama asiombe mechi na Gwajima badala ya kujificha nyuma ya jeshi ?
 
Kuaonea huruma au kutowaonea huruma mbona ni kama tatizo lako. Acha kila mmoja afanye yake. Hata uwaonee huruma vp hawakuletei ugali mezani
Nawaonea sana Huruma na Kuwadharau pia wale Majuha (Fools) wote wanaomuamini huyu Mnafiki kama wa Ununio
 
Back
Top Bottom