Askofu Gwajima sasa kama huogopi na uko nchini inakuwaje hujitokezi hadharani kuyasema unayoyasema na unajifichaficha tu kama Digidigi?

Askofu Gwajima sasa kama huogopi na uko nchini inakuwaje hujitokezi hadharani kuyasema unayoyasema na unajifichaficha tu kama Digidigi?

Ninyi watu wa Samia au mimi napenda kumuita “papai la Mzee Nnauye” ni wajinga sana.

Mmeanza kumkosoa Polepole baada ya kutekwa kuwa kwanini hakuchukua taadhari za ulinzi. Sasa mnataka na Gwajima afanye makosa yaleyale? Kwanini hamjib hoja zake badala ya kutaka kujua tuko wapi?
 
Yesu ndo muasisi wa kobazi!?

Kanywe dawa zako za ukichaa
Mtu aloshindwa hoja anakua kabaki na matusi kma defense yake

Pole sanaa matusi yako hayajanichuna popote
 
Chuki binafsi.

Chama Cha kujipindua kutafanya yake soon.
 
Back
Top Bottom