Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyekamata yuko wapi?Hivi huyu ndio walikamata mabegi ya kura jimboni kwake October?
Vipi hali ya kanisa lake nasiki linapumulia oxygen.
Ni mjasiliamali ana vyanzo vingi shida nnVipi hali ya kanisa lake nasiki linapumulia oxygen.
Hilo hapoVipi hali ya kanisa lake nasiki linapumulia oxygen.
Huoni aibu Mataga?Aliyekamata yuko wapi?
Tuwekee na barua ya J J Mnyika ya uteuzi wa Halima James Mdee kuwa mbunge wa viti maalumu!Huoni aibu Mataga?View attachment 1696428
Hao sio wanachama wa Chadema walishavuliwa uanachama ila kwa kua sheria hakuna haramu imehalallishwa na kiparaTuwekee na barua ya J J Mnyika ya uteuzi wa Halima James Mdee kuwa mbunge wa viti maalumu!
Mambo ya makanisa ya kisasa ni ya kupigia hela tu.Vipi hali ya kanisa lake nasiki linapumulia oxygen.
Msimdhihaki Mungu na hayo makanisa ya kishirikina na utapeli. Mungu hajawahi kuanzisha makanisa ya namna hiyo.Kanisa ni la Mungu!