Askofu Gwajima: Siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote

Hivi huyu ndio walikamata mabegi ya kura jimboni kwake October?
 
Huwezi kutumikia mabwana wawili Ni ngumu ama Kaizari au Mungu.nilimsikia mchungaji akimsifu mkuu kwa kupambana na corona siyo Mungu.dah
 
Maisha mzunguko leo Gwajima ana thamani zaidi kuliko bashite
 
Tuwekee na barua ya J J Mnyika ya uteuzi wa Halima James Mdee kuwa mbunge wa viti maalumu!
Hao sio wanachama wa Chadema walishavuliwa uanachama ila kwa kua sheria hakuna haramu imehalallishwa na kipara
 
Vipi hali ya kanisa lake nasiki linapumulia oxygen.
Mambo ya makanisa ya kisasa ni ya kupigia hela tu.
Mchungaji anakusanya pesa ,zikimtosha anataman waumin wasije ili aendelee kula hela zake,lakin waumin wenyewe.ndio wwjinga hawataki kuelewa.

We.mtu.kanisa lenyewe linahatari ya kuwadondokea wakat.oote.lakin mchungaji anatembeleaHUMMER mala.kanunua elcopta lakin waumin hawashtuki.
Basi.kaamua kutafuta njia ya kuwakimbia kwa staili hiyo.
Watajijua.wenyewe.
 
Huyu tapeli wa madhabahuni baada ya aliokuwa akiwatapeli kujanjaruka, kaenda kuwatapeli CCM, maana huko ndiko walikojaa wajinga (utafiti wa TWAWEZA ulithibitisha kuwa CCM wamejaa wajinga).
 
Kanisa ni la Mungu!
Msimdhihaki Mungu na hayo makanisa ya kishirikina na utapeli. Mungu hajawahi kuanzisha makanisa ya namna hiyo.

"Wewe ni Petera (mwamba) na juu ya petera (mwamba), nitalijenga kanisa langu"
 
Natamani sana kumuona mzalendo Bishop, Dr, J. M. GWAJIMA akimalizia kazi ya Baba JPM aliyoianza. Mtanzania funguka kifikra na fungua macho ya ndani kabisa, macho ya rohoni. Mungu anaishi ndani yetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…