GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.
GENTAMYCINE, pamoja na kuwa antibiotic, hapo umeteleza!!!! Ulifurahiya Fr. Kitima kujeruhiwa? Hayo ndiyo Gwagima anapinga (Think twice). Siku ukitekwa utalia kwa sauti (Gwagimaaaaaa.)
 
Huwa nafurahi mno nikieleweka na Watu werevu wa mfano wako hapa JamiiForums na siyo Mipumbavu iliyojazana ambayo imewekeza Chuki na Kukurupuka kwingi.
mjuba usipende sana kuungwa mkono humu kila utoapo hoja penda pia kupingwa
 
S
Sina cha kukuombea zaidi ya kansa ya kibofu.
Na utafanikiwa.
 
Wakiitwa wakatoriki na wewe unatoka? Acha umaandazi Genta
 
Kwa kifupi tu ni kwamba ulichokifanya Jana ni Akili ya Kitoto na Kipuuzi ya kutaka sasa Kuliingiza Kanisa Katoliki katika Sakata lako na Utawala wa sasa nchini.
Na wewe unaongea km Msemaji wa Wakatoriki nani amekupa hicho kibari? Novena inaisha leo ndio siku ya 9
 
Na kama kweli ulikuwa na Hoja ya maana kwanini 90% ya Mazungumzo yako ya Jana ulikuwa unalijumuisha tu Kanisa moja la Katoliki huku ukiyaacha Madhehebu mengine na hata Ndugu zetu Waislamu?
Uongee ukiwa na data za kutosha sio unabwabwaja tu mbele ya Kiongozi
 
Usiseme Sisi wakatoliki...sema wewe mkatoliki...Toa maoni na ujinga kwa ajili yako na familia yako usijumuishe watu wengine! MIMI MKATOLIKI NAMUUNGA MKONO GWAJIMA NA SITAENDA KUPIGA KURA
 
Wewe ni nani kuzungumza kwa niaba ya wakatoliki?...
Wewe sio mkatoliki...kama ungekuwa mkatoliki kwa umri wako ungejua kabisa kanisa lina utaratibu wake wa kutoa neno..
Wewe lofa una tabia ya ujuaji sana ...na kachuo kako feki ka SAUT...
 
Wewe Haji manara ni mpuuzi sana
 
NILIKUWA NAKUHESHIMU SANA
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…