GE2025 Askofu Gwajima sisi Wakatoliki wala hatujakutuma Utuongelee na Utujumuishe katika Matatizo yako ya Serikali, Rais Samia na CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Status
Not open for further replies.
Gentemycin GENTAMYCINE akili kubwa sana.
 
Vipi kuhusu Ile hoja yake ya kulivunja kanisa ambalo lipo MITA 40 kutoka barabara Kwa sababu ya kwamba lipo karibu na barabara na kuacha msikiti ambao uko MITA 20 kutoka barabara?.... Lakini pia waumini wake kufuatiliwa Kila kanisa wanalohamia?

Jamani ifike mahali tujaribu kuskiliza na kujibu vitu Kwa hoja hata kama huyo Gwajima mnamchukia je hana hata kimoja Cha kusikilizwa?? Kwa hiyo hao watawala hawana makosa?
 
Gentemycin
GENTAMYCINE akili kubwa sana.
Asante sana Mkuu. Kamwe huwezi kuwa na Damu ya Kizanaki (Mara), Kiyao na Kimakuwa (Mtwara) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) halafu pia umesoma vyema Chuo cha Majiniasi SAUT Mwanza ambacho Kutwa najivunia nacho kwa Kunijenga vyema kabisa Kifikra na Kitaaluma mwaka 2006 hadi mwaka 2009 halafu ukawa huna Akili Kubwa.
 
Mbona sasa hivi katika haya Maelezo yako hujanitukana tena halafu umekuwa mwangalifu na umeandika pia kwa Huruma? Kulikoni?
Bonge la dada bonge la paja...nmekuambia Njoo kidimbwi utukatikie tukupe hela Mimi na matajiri wenzangu hapa..
 
Angalia jinsi ulivyo Mpumbavu na ndiyo maana kumbe Nakudharau na Nakujibu hovyo. Sasa ngoja wenye Akili tukueleweshe......

Mjinga ni Yule Mtu ambaye hajui lolote ila akijifunza au akifundishwa na kujua basi anakuwa ni mwenya Maarifa rasmi

Mpumbavu ni Mtu ambaye hata akielimishwa vipi hawezi kuelimika na pia ni mzito wa kuelewa na hubakia hivyo daima.

PUMBAVU MKUBWA WEWE.
 
Naomba huko Hospitalini niongozane na Mama yako Mzazi kwani kwa kuwa nae pamoja Faraghani ndiyo Kaniambukiza hilo tatizo unaloniona nalo sasa.
Mama yangu faragha hajaanza leo, ndo maana unamwita mama.... ila jiandae na kilainishi tu uwe nacho karibu maana tungetamani sana tuzijue akili zako zilipo ila hatutaki dhambi ya Sodoma kuna watoto wa jirani hapa, tutawashkisha wekundu wachache inawatosha kukuonyesha akili zako zilipo...
 

Muwe mnawataja na waliowatuma mkuu, acknowledge the source sir, kujustify malipo yenu!
 
Mwana anajumlisha watu wote ukimsikiliza kwa makini ni hadi wanajeshi anataka wahusike kwenye show
 
Na wewe umetumwa na wakatoliki, au umejituma mwenyewe?
 

Kwa akili gani sasa uliyonayo hadi kujisifia? Kama umeshindwa kung'amua hoja za Gwajima tena kwa akili ndogo tu ya kuvuka barabara kwenye mistari ya pundamilia basi huna hata sababu ya kujisifia hapa Jf. Kama alivyo Gwajima katika muktadha wa kutokamilika kibinadamu vivyo hivyo ulivyo na wewe. Unakurupuka tu na kujaza server ya Jf. ukidhani unaongea jambo la maana. Hivi hata kama Gwajiboy amekuwa na bifu na jumuiya ya kikatoliki bado hauoni ana hoja ya msingi, surely? Jinga kabisa wewe! Kwa hiyo ulitaka Gwajima aendelee kuwa mnafiki kama ulivyo wewe? Na labda huu ndiyo wakati wake umefika wa kuacha unafiki.....sasa shida ipo wapi? Wewe unaona kuna uchaguzi wa haki unaenda kufanyika October? For your information chaguzi zote zilizopita hazijawahi kuwa huru na za haki sema ujinga wa watanzania walio kuwa wengi kutambua umuhimu wa kudai reforms za uchaguzi na katiba kwa ujumla umeendelea kupungua kadri teknolojia inavyozidi kushamiri.
Nakukumbusha tu, haki haijawahi kuombwa wala kutafutwa njia ya majadiliano comrade, haki inapiganiwa hata kwa ncha ya upanga ikibidi!
 
Leo nakuunga mkono katika hoja hii. Siongezei kitu nitakuwa narudia tu. Gwajima amalize tatizo lake, ni mnafiki. Siipendi CCM, lakini katika kuichukia CCM, sipendi kuungana na wanafiki. Kila kundi lipite njia zake
 
Hii umeandika wewe kama nani hapo Baraza la Maaskofu Tanzania-TEC? Hizi keyboard zinatudangaya sana. Heshima yako inaweza shuka kwa andiko la hovyo kama hili. Ungelitoa maoni hapo sawa ila sio kutoa maelekezo. Kanisa lenyewe liliwapa waumini wake kanisa la kwenda kuabudia. Sasa huoni umeandika Ujinga. Useles post. Admin futa huu uzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…