Mengine namsuport mchungaji anayoyasema kwani ni halisia na tunayaona
Ila swala la kidini limekaa vibaya hakuna vita mbaya kama kupandikiza chuki za kidini , hii chuki ikiingia kwenye mioyo ya watu Tanzania hatupo salama, ni vyema kulitatua kwa pamoja , kama kuna mwanasiasa amefunga hilo kabisa bila kosa au kisa anamchukia Gwajima anatukosea watanzania huo chuki ikipandikizwa ni mbaya sana