The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Ulikuwa ushazaliwa zama za bashite mtemi alikuwa naniHivi kwa nini mara zote chuki zake ni dhidi ya viongozi wa nchi wanaotokana na dini ya kiislamu tu?
Hivi una jua maana ya Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Ulinzi Tanzania?Ndugu ww una Hakika gani wanaotekwa wote wanatekwa na Serikali !!!
kwasasa ata Kenya kuna matatizo tena makubwa zaid ata uko Marekani pia kuna Utekaji !!!
lkn kote uko Akuna shutuma kwa Rais wa nchi kwann utekaji wa TZ mnataka mum bebeshe zigo Rais wa nchi !!!
kabla ajawa RAIS SAMIA akukuwa na utekaji ??
ukisoma msg zenu ni wazi kuna kachuki ndani yake japo kunawakati nikama Ukweli mnaujua !!!
mtu anasema ivi tulidhani Utekaji ulikuwa unafanywa na JPM RIP lkn sasa JPM ayupo na Utekaji unaendelea kumbe Mtekaji mwenyewe atakuwa uyu sio JPM !!¿¿
kwaiyo tuwaamini ndio uyu !!??
maswali ma3 naomba mjibu moja RAIS SAMIA kabla ajawa ata Makamu Rais je nchini kwetu akukuwa na Utekaji ???
Sasa nyinyi CHADEMA mnataka tuwaamini RAIS SAMIA ndio mtekaji kwa Ushaidi upi ???
mwisho CHADEMA tunaomba mtuakikishie je baada ya RAIS SAMIA SULUHU HASSAN kumaliza muda wake 2030 RAIS mpya ajae amtamuusisha na Utekaji !!??
mana zigo ili mlimtupia Rais JPM sasa limekuwa la RAIS SAMIA uko mbele litakuwa la uyo ajae kumbe niww sio SAMIA???
Chama ichi CHADEMA ndio tuseme mmekosa Sera za kuwaambia Wananchi mmekwamia kwenye Utekaji tu ndio Sera yenu !!!??
Ivi nikweli Watanzania milion 60+ tatizo lao ni Utekaji tu awana matatizo mengine ya Msingi !!?
Au CHADEMA mnadhani mnafanya Siasa na watoto pekeyao mbona sisi watu wazima mnatushangaza namna mnafanya Siasa zenu kwenu turufu ni Utekaji tu !!!
na kuvunja Sheria ili mkamatwe ndio SIASA za kumkomboa Mtanzania kweli.. !!!
kama sasa Uchaguzi pia amtaki yani mmechagua kufanya Siasa za Ujanja Ujanja tu kama kisa cha Fisi na mkono wa Binadam !!!
daaaa sisi watu wazima tunawaonea Uruma tu ujumbe wangu kwenu ni uwo.
GWAJIMA naye kashindwa kuwatumikia wana Kawe pia alikuwa Bubu akiwa Mjengoni kwa Utalatibu wa CCM wewe ufai kwenda Bungeni !!!
GWAJIMA akachagua kuamsha Dude na Waumini wake Wanamshangilia Siasa zasasa za ajaju sana,,,,.
Ni yeyeKupinga Utekaji ndio Chuki dhidi ya Samia! Kwahiyo unataka kuiambia Dunia kwamba mtekaji ni Samia?
juli lzm unashida huko gorofani,kwamba watu wasitekwe ni kujenga chuki dhidi ya serikali? Kwa hiyo wewe unataka utekwaji uendelee?hapa hakuna shaka gwaji anaonewa tu Hana kosa.Gwajima ana mtindio wa ubongo
Naona unacheza na maneno tu, lakini umeshindwa kutuhamisha kwenye ukweli wa aliosema Gwajima juu ya watu kutekwa. Na hakuna namna rais atakuwa hana mahusiano ya karibu na hicho kikundi cha utekaji. Nenda kaandae tena propaganda nyingine, kwa hii umefail pakubwa.Badala ya kuwa mahali pa sala, maombezi na faraja kwa waumini, madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima yamegeuka kuwa jukwaa la mashambulizi ya wazi dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakisambaza chuki, hofu na hisia kali zisizo na mashiko ya kiroho.
Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Gwajima alisikika akisema kwa kujiamini: “Niliwahi kumwambia Rais Samia nikiwa Ikulu kuwa, mtu mwenye hofu ya kupinduliwa tayari amepinduliwa.”
Kauli hii haikutoa maarifa ya kiroho wala hamasa ya kiimani, bali ilionekana wazi kuwa ni dongo la kisiasa lililolenga kuipaka tope Serikali ya Awamu ya Sita mbele ya hadhira ya waumini wake.
Badala ya kuhubiri matumaini, mshikamano wa kitaifa na sala kwa ajili ya maendeleo ya nchi, Gwajima ameendelea kugeuza mimbari kuwa uwanja wa kutupia vijembe, kusambaza jazba na kupandikiza dhana potofu miongoni mwa wananchi.
Katika kauli nyingine isiyopimika kwa mizani ya hekima ya kiroho, alisema: “Wapo wanaodhani ninaogopa kutekwa, lakini hata wakiniteka watakuwa wamechelewa.” Hii si lugha ya kiimani bali ni kejeli inayojenga mazingira ya taharuki na hofu ya kutungwa. Ni sauti ya mtu anayeona yuko juu ya taasisi, sheria na hata ukweli wa hali halisi.
Inashangaza kuona Gwajima akiwa kimya kabisa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania kama mfumuko wa bei duniani, ajira kwa vijana, huduma za afya kwa mama na mtoto au mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
Lakini kila mara linapokuja suala la kumshambulia Rais Samia huibuka na maneno yenye ujasiri wa ajabu, hali inayoibua maswali kuhusu malengo halisi ya hotuba zake.
Kwa miaka sasa Gwajima ameacha majukumu ya kiroho aliyokabidhiwa. Amechagua kuwa mwanasiasa wa majukwaa ya mitandaoni anayejificha nyuma ya joho la askofu huku akihubiri hofu, fitna na mivurugano.
Amebakiza sauti ya uchochezi na kiburi cha kisiasa badala ya uzito wa kiroho unaopaswa kumwongoza kiongozi wa dini.
Ni kweli, maana ukweli huwa unaamuma, na ukweli huo unapokuwa unawagusa majizi ya kura ya ccm ndio inakuwa mbaya zaidi. Gwajima kasema kweli, hutaki jinyonge.Tena Hilo KANISA limechelewa sana kufutwa,ni chanzo cha fitna na uchochezi
Badala ya kuwa mahali pa sala, maombezi na faraja kwa waumini, madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima yamegeuka kuwa jukwaa la mashambulizi ya wazi dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakisambaza chuki, hofu na hisia kali zisizo na mashiko ya kiroho.
Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Gwajima alisikika akisema kwa kujiamini: “Niliwahi kumwambia Rais Samia nikiwa Ikulu kuwa, mtu mwenye hofu ya kupinduliwa tayari amepinduliwa.”
Kauli hii haikutoa maarifa ya kiroho wala hamasa ya kiimani, bali ilionekana wazi kuwa ni dongo la kisiasa lililolenga kuipaka tope Serikali ya Awamu ya Sita mbele ya hadhira ya waumini wake.
Badala ya kuhubiri matumaini, mshikamano wa kitaifa na sala kwa ajili ya maendeleo ya nchi, Gwajima ameendelea kugeuza mimbari kuwa uwanja wa kutupia vijembe, kusambaza jazba na kupandikiza dhana potofu miongoni mwa wananchi.
Katika kauli nyingine isiyopimika kwa mizani ya hekima ya kiroho, alisema: “Wapo wanaodhani ninaogopa kutekwa, lakini hata wakiniteka watakuwa wamechelewa.” Hii si lugha ya kiimani bali ni kejeli inayojenga mazingira ya taharuki na hofu ya kutungwa. Ni sauti ya mtu anayeona yuko juu ya taasisi, sheria na hata ukweli wa hali halisi.
Inashangaza kuona Gwajima akiwa kimya kabisa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania kama mfumuko wa bei duniani, ajira kwa vijana, huduma za afya kwa mama na mtoto au mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
Lakini kila mara linapokuja suala la kumshambulia Rais Samia huibuka na maneno yenye ujasiri wa ajabu, hali inayoibua maswali kuhusu malengo halisi ya hotuba zake.
Kwa miaka sasa Gwajima ameacha majukumu ya kiroho aliyokabidhiwa. Amechagua kuwa mwanasiasa wa majukwaa ya mitandaoni anayejificha nyuma ya joho la askofu huku akihubiri hofu, fitna na mivurugano.
Amebakiza sauti ya uchochezi na kiburi cha kisiasa badala ya uzito wa kiroho unaopaswa kumwongoza kiongozi wa dini.
Inasikitisha sana kuona dunia hii kuna watu wanawaza bado kama wewe. Kwamba ni kosa Mchungaji kuhubiri na kukemea Wauaji? Umesahau kuwa, amri ya Tano ya Mungu imesema " USIUE"?Badala ya kuwa mahali pa sala, maombezi na faraja kwa waumini, madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima yamegeuka kuwa jukwaa la mashambulizi ya wazi dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakisambaza chuki, hofu na hisia kali zisizo na mashiko ya kiroho.
Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Gwajima alisikika akisema kwa kujiamini: “Niliwahi kumwambia Rais Samia nikiwa Ikulu kuwa, mtu mwenye hofu ya kupinduliwa tayari amepinduliwa.”
Kauli hii haikutoa maarifa ya kiroho wala hamasa ya kiimani, bali ilionekana wazi kuwa ni dongo la kisiasa lililolenga kuipaka tope Serikali ya Awamu ya Sita mbele ya hadhira ya waumini wake.
Badala ya kuhubiri matumaini, mshikamano wa kitaifa na sala kwa ajili ya maendeleo ya nchi, Gwajima ameendelea kugeuza mimbari kuwa uwanja wa kutupia vijembe, kusambaza jazba na kupandikiza dhana potofu miongoni mwa wananchi.
Katika kauli nyingine isiyopimika kwa mizani ya hekima ya kiroho, alisema: “Wapo wanaodhani ninaogopa kutekwa, lakini hata wakiniteka watakuwa wamechelewa.” Hii si lugha ya kiimani bali ni kejeli inayojenga mazingira ya taharuki na hofu ya kutungwa. Ni sauti ya mtu anayeona yuko juu ya taasisi, sheria na hata ukweli wa hali halisi.
Inashangaza kuona Gwajima akiwa kimya kabisa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania kama mfumuko wa bei duniani, ajira kwa vijana, huduma za afya kwa mama na mtoto au mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
Lakini kila mara linapokuja suala la kumshambulia Rais Samia huibuka na maneno yenye ujasiri wa ajabu, hali inayoibua maswali kuhusu malengo halisi ya hotuba zake.
Kwa miaka sasa Gwajima ameacha majukumu ya kiroho aliyokabidhiwa. Amechagua kuwa mwanasiasa wa majukwaa ya mitandaoni anayejificha nyuma ya joho la askofu huku akihubiri hofu, fitna na mivurugano.
Amebakiza sauti ya uchochezi na kiburi cha kisiasa badala ya uzito wa kiroho unaopaswa kumwongoza kiongozi wa dini.
Ila bi king'ang'a mgumu sana kuelewa mada Yani hapo umekaa kisharishariKupinga Utekaji ndio Chuki dhidi ya Samia! Kwahiyo unataka kuiambia Dunia kwamba mtekaji ni Samia?
Hakika wewe ni mjinga sanaBadala ya kuwa mahali pa sala, maombezi na faraja kwa waumini, madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima yamegeuka kuwa jukwaa la mashambulizi ya wazi dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakisambaza chuki, hofu na hisia kali zisizo na mashiko ya kiroho.
Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Gwajima alisikika akisema kwa kujiamini: “Niliwahi kumwambia Rais Samia nikiwa Ikulu kuwa, mtu mwenye hofu ya kupinduliwa tayari amepinduliwa.”
Kauli hii haikutoa maarifa ya kiroho wala hamasa ya kiimani, bali ilionekana wazi kuwa ni dongo la kisiasa lililolenga kuipaka tope Serikali ya Awamu ya Sita mbele ya hadhira ya waumini wake.
Badala ya kuhubiri matumaini, mshikamano wa kitaifa na sala kwa ajili ya maendeleo ya nchi, Gwajima ameendelea kugeuza mimbari kuwa uwanja wa kutupia vijembe, kusambaza jazba na kupandikiza dhana potofu miongoni mwa wananchi.
Katika kauli nyingine isiyopimika kwa mizani ya hekima ya kiroho, alisema: “Wapo wanaodhani ninaogopa kutekwa, lakini hata wakiniteka watakuwa wamechelewa.” Hii si lugha ya kiimani bali ni kejeli inayojenga mazingira ya taharuki na hofu ya kutungwa. Ni sauti ya mtu anayeona yuko juu ya taasisi, sheria na hata ukweli wa hali halisi.
Inashangaza kuona Gwajima akiwa kimya kabisa kwenye mambo muhimu yanayogusa maisha ya kila siku ya Watanzania kama mfumuko wa bei duniani, ajira kwa vijana, huduma za afya kwa mama na mtoto au mapambano dhidi ya dawa za kulevya.
Lakini kila mara linapokuja suala la kumshambulia Rais Samia huibuka na maneno yenye ujasiri wa ajabu, hali inayoibua maswali kuhusu malengo halisi ya hotuba zake.
Kwa miaka sasa Gwajima ameacha majukumu ya kiroho aliyokabidhiwa. Amechagua kuwa mwanasiasa wa majukwaa ya mitandaoni anayejificha nyuma ya joho la askofu huku akihubiri hofu, fitna na mivurugano.
Amebakiza sauti ya uchochezi na kiburi cha kisiasa badala ya uzito wa kiroho unaopaswa kumwongoza kiongozi wa dini.
Kama kiti cha ikulu kilvyogeuka Mbaraka kwa watekaji.Badala ya kuwa mahali pa sala, maombezi na faraja kwa waumini, madhabahu ya Askofu Josephat Gwajima yamegeuka kuwa jukwaa la mashambulizi ya wazi dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan, yakisambaza chuki, hofu na hisia kali zisizo na mashiko ya kiroho.