PreGE2025 Askofu Gwajima: Sitayumba, sitabadilika na wala sitabadili msimamo!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kosa la Gwajima ni lipi?
 
Alichokesema Gwajima wote tulikisikia, huitaji kuleta uchawa wako apa kama wewe ndio mmoja wapo wa watekaji na hivyo unatafuta wakuteka kupitia comments peleke ushwetani wako uko
 
Tupe hata clip moja ya hayo mashambulizi!
Kama kukemea utekaji, ulawiti, utesaji na mauaji ndo kumshambulia huyo uliyemtaja basi niishie hapo
 
Hivi kwa nini mara zote chuki zake ni dhidi ya viongozi wa nchi wanaotokana na dini ya kiislamu tu?
Ni lini kamzumgumzia kiongozi wa nchi? Unataka kuniambia kukemea utekaji ni kumshambulia kiongozi?
 
Wapi Gwajima aliposema wanatekwa na serikali? Weka clip hapa
 
Mlioa kichwa leo anajuta. Na bado. Haya makanisa yake mawili hapa Jijini Mwanza HAKUNA mbwa inaingia kanisani! Nyambafu!
Kwamba waumini wanaoingia makanisani kwa Gwajima ni mbwa!? Hiyo chuki ni kwasababu ya kukemea utekaji tu au kuna lingine?
 
Machawa tunaandika maelezo mengi, yaani hata sijui maneno yanatoka wapi
 
Hakuna chuki ilioenezwa ilikua ni swali anauliza na wote tungependa kupata majibu ila badala ta kujibiwa mnafanya namna ya kumptoze na sisi tunasema hatuta nyamaza kimya
 
tangu yatokee ya gwajima basi humu jf kumetookea id nyingi ambazo zilikaa kimya kwa muda mrefu. tuwe nazo macho. hawa ni mawakala wa watawala.
 
Yaani hamna tofauti na Yanga... Tamko moja la Gwajima kupinga utekaji limewakurupusha usingizini kila mmoja wenu anatoa tamko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…