Sawa tu maana Ndugai alifukuza wabunge wengi Bungeni wakaacha kuwakilisha wananchi wao, kwa makosa madogo tu.

Andacho mtu ndicho atakachovuna.
Alifanya mambo sana kinyume cha taratibu sana......hadi akajisahau akajiona Mungu mtu....
 
Kaanza mwaka vibaya huyu spika mjiuzulu...
 
Kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya miradi isiyo ya kimkakati (madawati nk. ) ni jambo lisilokubalika, tutawawajibisha wahusika 2025!

Kashavuka nusu ya JPM ndani ya miezi 9 ndugu yangu…Baraba anaachiwa huru na mwana wa mwenyezi anatiwa katika mikono ya wenye dhambi…hii nchi ngumu sana..

Spika ghafla kawa victim kuitetea nchi yake kutoka kwenye gia ya mikopo …can’t dig it
 
Kwahio spika kachanja lakini anaumwa😄
 
Kwa clip hio sijaona unafiki wa Gwajima Wala kujipendekeza kwa mama, amekasirishwa na kitendo Cha spika kuomba msamaha, alichosema mwanzoni spika angeshikilia msimamo, na huo ndio msimamo wa gwajima.
 
Unafiki wa kutisha. "This is tbe Ndugai know"
Halafu anasema Ndugai ajiuzulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…