Gwajima siyo mfanyakazi au hana qualification inayohusu afya, anaenda off point kila anachoongea: Kwanza kasema kuwa covid-19, Corona virus december 2019, haijatosha kasema ile chanjo inaenda kwenye MRA (what the heck is that?), baadaye akasema hiyo chanjo inaingia kwenye DNA halafu inakubadilisha kuwa mazombies (Hivi kuna mtu mwenye akili timamu atakayezungumza pumba kama hili takataka?), akaendelea kuwa chanjo ya coronavirus-19 inatengenezwa kwa kutumia wadudu wa corona waliodhoofishwa (Siyo kweli, hao ni wadudu tofauti wa jamii ya chimpanzee wanaojulikana kama " adenovirus" ambao siyo lazima wawe wametoka kwenye chimps bali wanaweza kutengenezwa, refer Biology yako ya form IV kama umesoma hiyo, kuwa wanachotengeneza ni protein ya hao wadudu na wala si mdudu kamili, hayo ya attenuation yapo katika level nyingine. Kama mtu hafahamu anyamaze awaachie wanaofahamu...Huyo Gwajima ana uwezo gani wa ku-argue kitu asichokijua?" Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Yaani Hafai😩😩Ndio madhara Uaskofu wa Kujibandika. Ngoja umrudi yeye na anaowaongoza. Askofu ana Majibu kama ya Makuli wa Bandarini au Wamama wacheza Vigodoro!?!Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno la Mungu na kumdharau mke wako na familia yako? Huo si ubabe bali ni ujinga uliokomaa kupita kiasi. Kwa hiyo mafundisho yako ya dini yana-based wapi? Kwa watu kusaliti ndoa zao?
Sasa una tofauti gani na asie na dini huku ukijidai wewe ni askofu? Kama kweli wewe ni kiongozi wa dini, unapaswa uwe na ile moral behavior na ujali pia ethics za kazi zako.
Unachokifanya kinaendelea kukushushia heshima kiasi kwamba huna tofauti na wengine wenye tabia za kishenzi na kipuuzi.
Hufai kwa lolote wewe mchungaji au askofu Gwajima, huna adabu, wala hekima na pia hujitambui. Sitaki kuongelea mengi kukuhusu ila bottom line ni kuwa hufai.
Utaolewa huku.....fata shughuli zako.....Wewe kama haikuhusu usihangaike na kuisoma, tumia bundles kwa shughuli nyingine. Wewe fala ndiyo wa kuniambia niendelee na shughuli zangu? Mshenzi na mpuuzi mkubwa.
Mmekwisha data...Nadhani wewe ndio umechanganyikiwa.
Yeye si doctor" Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Nimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno la Mungu na kumdharau mke wako na familia yako? Huo si ubabe bali ni ujinga uliokomaa kupita kiasi. Kwa hiyo mafundisho yako ya dini yana-based wapi? Kwa watu kusaliti ndoa zao?
Sasa una tofauti gani na asie na dini huku ukijidai wewe ni askofu? Kama kweli wewe ni kiongozi wa dini, unapaswa uwe na ile moral behavior na ujali pia ethics za kazi zako.
Unachokifanya kinaendelea kukushushia heshima kiasi kwamba huna tofauti na wengine wenye tabia za kishenzi na kipuuzi.
Hufai kwa lolote wewe mchungaji au askofu Gwajima, huna adabu, wala hekima na pia hujitambui. Sitaki kuongelea mengi kukuhusu ila bottom line ni kuwa hufai.
" Gwajiboy hapingi chanjo, anasimamia hoja zile zile zilizosimamiwa na wizara ya afya awamu iliyopita kukataa chanjo.
Sasa Gwajiboy ana hoji huo utafiti umefanyika lini hadi kuhalalisha kuwa hizi chanjo ni salama? Ile kamati ya kumshauri mh Rais ndio ilifanya utafiti kwa muda ule kweli?
Hata mimi binafsi naona wataalam wetu wengi wanajibu maswali kupitia madesa yaliyopo mitandaoni hasa sites za chanjo na CDC ambayo yalikuwepo hata mwaka jana na bado tuliyapinga kisayansi!
Hivi pamoja na upunguani wa Gwajiboy unafikiri wanaweza kufanya nae mdahalo? Hushtuki why hafanyiwi mahojiano kutoa maoni yake?
Hizi chanjo issue si Tanzania tu, ni mgogoro dunia nzima jinsi zilivyoibuka haraka bila kufanyiwa majaribio na kuchunguza madhara yake ya muda mrefu hasa kwa aina ya contents zake si za kutumika bila utafiti wa muda mrefu na hapo ndio natamani wataalam wetu wafafanue na sio porojo za sarafu kugandia.
Kwamba wazungu wamechanja na sisi tuchanje ni hoja mfu ambazo hata mababu zetu pamoja na uprimitive wao wasingekubali. Kule ushoga ni kawaida na umepitishwa kisheria kama ndoa zingine! Na sisi tuige kwavile wana akili na technology kutuzidi?
Jana Gwajima amehoji, hivi hao wanaochoma wamepimwa kwanza? Kule vijijini je? Kuna ufuatiliaji wa walio chanja ili wataalam wetu wajue namna ya kumanage madhara kama yatatokea? Huko kwa wenzetu wana utaratibu bora wa afya hata kabla ya chanjo, huku twende hivyo hivyo?"
Kosa lake Ni Nini?
Kwani hujui akili za wasukuma? Ubishi, kiburi na ubabe nikama Jiwe tuNimefuatilia kwa karibu majibu machafu na ovyo ya huyo Gwajima (siamini kama kweli ni mchungaji au askofu mwenye karama), Kama kweli ni mchungaji kuna ethics zake, ni upumbavu na upuuzi kujitapa kuwa hata kama amelala na mrembo yule kwani kuna shida gani?
Hivi ni wewe unayehubiri kanisani neno la Mungu na kumdharau mke wako na familia yako? Huo si ubabe bali ni ujinga uliokomaa kupita kiasi. Kwa hiyo mafundisho yako ya dini yana-based wapi? Kwa watu kusaliti ndoa zao?
Sasa una tofauti gani na asie na dini huku ukijidai wewe ni askofu? Kama kweli wewe ni kiongozi wa dini, unapaswa uwe na ile moral behavior na ujali pia ethics za kazi zako.
Unachokifanya kinaendelea kukushushia heshima kiasi kwamba huna tofauti na wengine wenye tabia za kishenzi na kipuuzi.
Hufai kwa lolote wewe mchungaji au askofu Gwajima, huna adabu, wala hekima na pia hujitambui. Sitaki kuongelea mengi kukuhusu ila bottom line ni kuwa hufai.
Kina Petro aliyemkana yesu ni wengi. Huku ni kutawaliwa na woga. Ni wazi walitenda kwa kumwogopa mfalme sasa mfalme yule hayupo wanamkana.Kosa lake kwa sasa ni kushawishi wananchi wasichange huku hakuna mbadala . Pili ni personal attacks kwa waziri (shemeji) .
Ni kweli kuwa ndani ya muda mfupi serikali imekuwa na kauli zinazokinzana. Mwanzo wakiikataa Corona na chanjo zake. Lakini pili wakiikubali na chanjo zake. Hii imewachanganya wananchi . Na ndiyo maana wameifanya kuwa hiyari. Sasa Gwajima anatumia jukwaa lake la kanisa kuwarubuni wananchi si sawa. Lucas philipo
Sidhani, kimsingi kuna ukweli wa hoja ambazo majibu yapo lakini haayawezi kutolewa. Waziri asingeweza kwenda kinyume na bosi wake na hata sasa hawezi tena.Tunajua Chadema mna hasira na askofu kwa sababu aliwashughulikia sana toka muonyeshe msimamo wenu wa corona. Mnataka tu akomolewe kwa hoja za kuuunga unga.