Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali.
Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii.
Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora uwe unatembea na bastola yako kuliko kuiacha home alafu ukaagiza watu wakuletee.
Weka mkwasa kiunoni kisha chapa kazi kama kawaida.