Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Si ni Askofu bastola ya nini tena?Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali.
Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii.
Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora uwe unatembea na bastola yako kuliko kuiacha home alafu ukaagiza watu wakuletee.
Weka mkwasa kiunoni kisha chapa kazi kama kawaida.
Zina expire lini na sisi tujueMwanzo walisema mpuuzi huyo, apuuzwe. Sijui kimewashinda Nini!
Chanjo zimedoda muda wa expire unawadia, sijui watawadunga hivyohivyo.
Badala ya kubadilika mbinu kufanikisha watu kuchanjwa wanaendelea na mbinu ileile ya kumsakama Gwajima. Hata mkimfunga kabisa hamutafanikiwa.
Atembee na Yesu SioSi ni Askofu bastola ya nini tena?
Acha ujinga, Gwajima anawafuasi wengi wengi sana tena sana na analindwa na Mungu! So wewe pimbi nyamaza.Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali.
Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii.
Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora uwe unatembea na bastola yako kuliko kuiacha home alafu ukaagiza watu wakuletee.
Weka mkwasa kiunoni kisha chapa kazi kama kawaida.
Kibwetere ajikite kufufua misukule awaache wataalam wa afya wafanye kazi zao.Mwanzo walisema mpuuzi huyo, apuuzwe. Sijui kimewashinda Nini!
Chanjo zimedoda muda wa expire unawadia, sijui watawadunga hivyohivyo.
Badala ya kubadilika mbinu kufanikisha watu kuchanjwa wanaendelea na mbinu ileile ya kumsakama Gwajima. Hata mkimfunga kabisa hamutafanikiwa.
Hahaha mataga mnaruka na kukanyagana.Acha ujinga, Gwajima anawafuasi wengi wengi sana tena sana na analindwa na Mungu! So wewe pimbi nyamaza.
Ndiyo maanakeAtembee na Yesu Sio
AstNdiyo maanake
Pastor anaogopa mic na kitiNdiyo maanake
hatari snAst
Pastor anaogopa mic na kiti
Wale wabunge 3 ndo unasema hao?Hahaha mataga mnaruka na kukanyagana.
Kibwetere jana ameshukiwa kama mwewe 🤣