Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.