Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia asivute hewa ya humoHabari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho...
Ni Mungu tu mwenye kuamua kumfuta mtu na akafutika.Sitaki kuzungumza majaribio ya mauaji kwa watu ambao wako hai nitakuwa nakosea Mungu wangu pia.
Ila kaa ukijua "System ikitaka, rudia kusoma IKITAKA haishindwi.
😁😁😁😁Mbona Kinana na Makamba walichora 4 mbele ya Katibu mkuu Dr Bashiru!!
Ukiwa na fedha 4 unachora popote pale.
Brother tulia hujui unalolisema. System inaweza isiwe imara kwenye mambo mengine ila si mambo kama hayo...
Wapi nimeandika kuwa ni kosa kuwa na confidence wewe Tahira mwenye UKE MCHAFUNdivyo ulivyofundishwa ukafundishika kwamba kuwa na confidence ni kosa.
Punguwani mkubwa wee
Ulitegemea system iliyosimamiwa na Bashite kuwa na mbinu gani zaidi ya kumwaga risasi?Uhenda huko sahihi.
Ni kama vile system ingetaka kumwondoa Lissu, angeondoka taratibu na ugonjwa wa pressure! Na tusisingizie vile vijamaa vilivyopiga risasi zaidi ya 18 wakakosa target eti vimetumwa na system!
Na ikiwezekana hata bungeni aende na viti na mic zake kabisaHabari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Huwezi kujadiliana bila matusi mkuu?Wapi nimeandika kuwa ni kosa kuwa na confidence wewe Tahira mwenye UKE MCHAFU
Amenitusi akijua mimi sijui kutukana! Dawa ya mpumbavu ni kuwa mpumbavu kama yeye ili mcheze wote kwenye dimbwi la matope.Huwezi kujadiliana bila matusi mkuu?
Lissu kawa blacklisted, hawezi kupata msaada serikalini, bungeni wala mahakamani.ilishindwa kwa Lissu. Mungu akisema hapana ni hapana mbinguni na duniani
Vipi kama ikitaka halafu Mungu akakataa?Sitaki kuzungumza majaribio ya mauaji kwa watu ambao wako hai nitakuwa nakosea Mungu wangu pia.
Ila kaa ukijua "System ikitaka, rudia kusoma IKITAKA haishindwi.
Vilitumwa na gaidiUhenda huko sahihi.
Ni kama vile system ingetaka kumwondoa Lissu, angeondoka taratibu na ugonjwa wa pressure! Na tusisingizie vile vijamaa vilivyopiga risasi zaidi ya 18 wakakosa target eti vimetumwa na system!
Watafuta uzi hawa[emoji3525]Pamoja na kuifuta ila bado inaonekana kwenye quote
Kwan Hawa faham alipo?Edward Snow, CIA wanamtafuta kwa usongo sana.
System haishindwi,haijaamua,mkono wa system ni mrefu sana.Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
PointZile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Ameionesha dunia kwamba ccm ni wauajiHabari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
System imemtoa Magufuli madarakani, sembuse hicho ki GwajimaInaweza kushindwa si unaona jana imefeli