Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Gwajiboy ni mdogo sana katika nchi hii, kama unavyosema nadhani huelewi na hutoelewa. Achana na system ya nchi kama ikihitaji usiwepo kwa maslahi mapana ya nchi. Mfano alikuwepo mkuu wa kitengo mstaafu alisogezwa itakuwa tapeli anayetumia neno la mungu kuwaibia waumini wake?Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Yap! Ule ulikuwa mkakati wake wa kuwashusha wajumbe kisaikolojia. Nakuhakikishia kuwa kwa hali ile kila mwenye swali lake aliliona halina maana. ... Psychological tool for psychologic warfare.Brother tulia hujui unalolisema. System inaweza isiwe imara kwenye mambo mengine ila si mambo kama hayo.
Yule alifanya vile jana kwa ajili ya kuwaondoa wale watu mchezoni, alitaka kuwa-win kabla ya yote na ndiyo maana akaingia akiwa na confidence ya juu akitaka abadilishiwe kiti na kipaza sauti.
Angalia alivyofika kitu cha kwanza anakaa kwa kukunja 4 ni wazi alitaka kuwaondoa mchezoni. Huwezi kuitwa kwenye kamati ya maadili wategemee uje na ile confidence na tena uchore 4 mbele yao.
DahLissu kawa blacklisted, hawezi kupata msaada serikalini, bungeni wala mahakamani.
Wazungu zaidi ya kutoa hifadhi sidhani kama kuna kitu cha ziada watatoa. Itakuwa vile vile kama Kambona, utakaa huko huko mpaka unakufa basi.
Na kibaya zaidi huko nje alhakuna anayekujua kwahiyo huwezi kupata heshima kama nyumbani wanakokujua vizuri.
Kwa Lissu Magufuli alitamani amtafune aliyefelisha dealilishindwa kwa Lissu. Mungu akisema hapana ni hapana mbinguni na duniani
Fidel castro wa cuba alikoswa mara ngapi na marekani????Haishindwi, ila angalau waangaike kidogo , NJIA za kukwepa mitego yao zipo nyingi,
Yeah maana ukifuta origin post halafu ikaendelea kuonekana kwa aliye-quote maana ya kufuta haipo tena hapo.Sasa wao ndio wamefuta na mfumo wao wa kufuta unaacha quoted post kuendelea kuonekana.
Inabidi post ikifutwa, ifutike kote automatically. Sijui hili jambo hawajaligundua na kulifanyia kazi..
Serikali ya Tz ina msaada gani kwa lissu zaidi ya tozo za miamala na nyinginezo. Wewe unayeongea hujawahi hata kufika na kuishi wiki mbili nchi anayoishi Lissu
Yategemea na aina ya mtu. Kama maisha yako hayana mbinu nyingine, utaomba msamaha kabla ya mahojiano: Umuonavyo Gwajima na kipaji chake cha hotuba, kweli anaweza kukosa confidence?Brother tulia hujui unalolisema. System inaweza isiwe imara kwenye mambo mengine ila si mambo kama hayo.
Yule alifanya vile jana kwa ajili ya kuwaondoa wale watu mchezoni, alitaka kuwa-win kabla ya yote na ndiyo maana akaingia akiwa na confidence ya juu akitaka abadilishiwe kiti na kipaza sauti.
Angalia alivyofika kitu cha kwanza anakaa kwa kukunja 4 ni wazi alitaka kuwaondoa mchezoni. Huwezi kuitwa kwenye kamati ya maadili wategemee uje na ile confidence na tena uchore 4 mbele yao.
Kwani ukitaka kumfuta mtu mpaka akalie kitu na atumie mic? We ni jasusi mjinga wa kwenye cartoonInaweza kushindwa si unaona jana imefeli
Gwajima ni msomi au anakipaji.Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Huwezi jua wao si wanakinga.Corona inaambukizwa kwa hewa nani mpuuzi atakaa chumba kimoja tena kwenye AC akijua kuna kitu kimepandikizwa Covid
Unazani kuua mtu aliumbwa na Mungu ni rahsi kiasi hicho, muulize jiwe atakamwambia, lisu yupo yeye katangulia.Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Sitaki kuzungumza majaribio ya mauaji kwa watu ambao wako hai nitakuwa nakosea Mungu wangu pia.
Ila kaa ukijua "System ikitaka, rudia kusoma IKITAKA haishindwi.
Kwa Taarifa yenu Kazi imeshamalizwa Jana na ya nyongeza leo au Kesho.Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Kwani iyo jana system iliweka nini kwenye ivyo viti???Inaweza kushindwa si unaona jana imefeli