Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Sumu ilitegwa wapi mkuu, kwenye Kiti au mic duuuhInaweza kushindwa si unaona jana imefeli
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumu ilitegwa wapi mkuu, kwenye Kiti au mic duuuhInaweza kushindwa si unaona jana imefeli
Aliwadharau kupita kiasi cha kawaida.Brother tulia hujui unalolisema. System inaweza isiwe imara kwenye mambo mengine ila si mambo kama hayo.
Yule alifanya vile jana kwa ajili ya kuwaondoa wale watu mchezoni, alitaka kuwa-win kabla ya yote na ndiyo maana akaingia akiwa na confidence ya juu akitaka abadilishiwe kiti na kipaza sauti.
Angalia alivyofika kitu cha kwanza anakaa kwa kukunja 4 ni wazi alitaka kuwaondoa mchezoni. Huwezi kuitwa kwenye kamati ya maadili wategemee uje na ile confidence na tena uchore 4 mbele yao.
Mbao za Mawe hakujui [emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]Hujatosha kuniambia nisikujibu. Hili linaloandika hapa ni JABALI siyo jitu puuzi na lenye uoga kama wewe.
Nimekujibu nasubiri kuona huo UHARO uliokubana.
Jamaa huwa anajikuta anajua na akili kubwa. Si kila mtu anabebwa kikondoo!. Mfano iko mingi. Tena sitaki kuyoangea haya mambo. Wewe ishia hapa hapa. Kama wewe huna ufahamu, usjiweke kuwa ni rula ya dunia. Uelewa wako unaishia hapa. Usinijibu kwa sababu ninajua utakachokuja nacho. Sitaki dhambi.
Zile zilikuwa ni mbwembwe tu,wasiyoJuLiKaNa Kama wanahitaji uhai wake ni issue ndogo Sana kwao.Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Povu nyingiiii! Content zero.. Si kila mtu anabebwa kikondoo!. Mfano iko mingi. Tena sitaki kuyoangea haya mambo. Wewe ishia hapa hapa. Kama wewe huna ufahamu, usjiweke kuwa ni rula ya dunia. Uelewa wako unaishia hapa. Usinijibu kwa sababu ninajua utakachokuja nacho. Sitaki dhambi.
Kigogo huyu huyu anayeshinda Twitter kupambana na Chadema, ndio unataka system i deal nayesystem ipi unayoizungumzia hii hii iliyoshindwa kumjua kigogo ni nan?
Umeshauri vizur, bila hivyo corona itamnyonyoa!Habari za asubuhi,
Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho.
1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa.
2. Viti atakavyovikuta pembeni asiviamini kama vipi aje na chakwake, kuhusu microphone achukue ya mjumbe mwingine na aiweke kitambaa chenye unyevu.
3. Asishikane mkono na mtu wala asikaribiane na mtu.
Kwa Lissu ilishindwa mkuu.Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
System haishindwi,haijaamua,mkono wa system ni mrefu sana.
#HOJA HAZIZIMWI NA NYUNDOOOOZile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Umeona eh! Kuna watu wengi tunaishi nao hawana akili nzuri za kutosha. Ni kuvumiliana tu?!Corona inaambukizwa kwa hewa nani mpuuzi atakaa chumba kimoja tena kwenye AC akijua kuna kitu kimepandikizwa Covid
Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Sijajua swali lako limelenga tumzungumzie Fidel castro, muhispania na mtoto wa nje aliezaliwa 13/8/1926, ambaye alisha kuwa adui wa Marekani, na kufanyiwa operation mbalimbali na Marekani,Kwa Lissu Magufuli alitamani amtafune aliyefelisha deal
Fidel castro wa cuba alikoswa mara ngapi na marekani????
Kama ile maiti ya Chato ilifutwa Gwajima ni nani hata ashindikane ?Zile za jana ni mbwembwe tu. Hivi unadhani system ikitaka kufuta mtu katika uso wa nchi au dunia itashindwa?
Sijajua swali lako limelenga tumzungumzie Fidel castro, muhispania na mtoto wa nje aliezaliwa 13/8/1983, ambaye alisha kuwa adui wa Marekani, na kufanyiwa operation mbalimbali na Marekani,Kwa Lissu Magufuli alitamani amtafune aliyefelisha deal
Fidel castro wa cuba alikoswa mara ngapi na marekani????
Kwani hao mnaowatuhumu kwamba system imewapoteza unadhani mungu alikuwa hayupo ?Kiasi cha kuzidi mkono wa Mwenyezi Mungu ?