Kwa sababu ni gwajiboy, vinginevyo Hadi sasa angesha kuwa gaidi na yupo ndani ya seloNi uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
Kwani hoja zake anazozitoa ni kwanini msizijibu tu?Nahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Yafaa tumwite gangboy.Mtu wa lile genge anazidi 'kukichafua' tu.
Wait and see..!
Sukuma gang at workNahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Yawezekana kujibizana na akilinusu?Kwani hoja zake anazozitoa ni kwanini msizijibu tu?
Kukosa ubunge kumewamaliza akili kabisaHaya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.
Gwajima kamatia hapo hapo.
Sasa kwanini usidhirishe unusu wa akili zake kwa hoja kwa kujibu hoja zake?Yawezekana kujibizana na akilinusu?
Kwani akilinusu yeye alipata?kukosa ubunge kumewamaliza akili kabisa
Mwisho utageuka wewe akilinusuSasa kwanini usidhirishe unusu wa akili zake kwa hoja kwa kujibu hoja zake?
Gangboy gwajiuno!Yafaa tumwite gangboy.
Haya sasa, huyo ndio mbunge mliempata.kukosa ubunge kumewamaliza akili kabisa
Hana la kuthibitisha gwajiuno, katolewa chambo tu na lile gang la mwendazake.Asee unawezekana kuna kitu anakiona. Ingekuwa vyema kama angeenda ndani zaidi kueleza madhara kwa binadamu hasa ni yapi na nini kifanyike kama mbadara wa chanjo.