#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

Gwajima hujibu jumapili Tu kwenye Ibada zake baasi , hayo ni maneno ya mashoga wasio na akili wamejitejgenezea accnt fake , ukitaka neno la gwajima njoo jumapili kwenye kanisa la ufufuo na uzima , baada ya hapo mpak jumapili tena ...!!!
Kumbe na wewe ni mmoja wa kondoo mpendwa wa Askofu Rashidi.
 
Lakini Kuna shida gani mtu kutoa maoni yake?? KAMA anakataa au anashauri watu yeye hajawa mnafiki mnakumbuka hawa hawa Viongozi walikua wanasema chanjo haifai leo wanasema inafaa..Ninaona aibu sana nikimuangalia Yule Mama Waziri wa afya..Yaani naona aibu.
 
Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.

Gwajima kamatia hapo hapo.

Msilojua ni kuwa, watu kama Gwajima walikuwa loyal kwa mtu(Magu) na si chama wala kiongozi wa chama au serikali na hawa bado wako wengi tu katika hii serikali ya Mama sema Gwajima kaamua kutojificha.

Inawezekana hata huu ubunge hana shida nao na ndio maana anafunguka kiasi hiki.
Kwahiyo una maana yule wa majalalani nae anavuta tu kasi?
 
Asee unawezekana kuna kitu anakiona. Ingekuwa vyema kama angeenda ndani zaidi kueleza madhara kwa binadamu hasa ni yapi na nini kifanyike kama mbadara wa chanjo.
Mkuu ingie utube ,msikilize mwanzo mwisho utamuelewa Gwajima,na kasema watafiti ambao hawajala mlungula waje mezani wamjibu kwa hoja ,waliokula hela wasimjibu maana atawalipua [emoji3]

Gwajima ana hoja,wamjibu kwa hoja!
Ametoa wazo kwasbb chanjo bado ziko kwny utafiti sio salama kuchoma jeshi lote na sekta ya afya,inacase kuna madhara italigharimu taifa!
Na akapendekeza hata huko iwe hiari km kwenye makundi mengine isilazimishwe
 
Gwajima hujibu jumapili Tu kwenye Ibada zake baasi , hayo ni maneno ya mashoga wasio na akili wamejitejgenezea accnt fake , ukitaka neno la gwajima njoo jumapili kwenye kanisa la ufufuo na uzima , baada ya hapo mpak jumapili tena ...!!!
Kabisa!
Ila wiki hii yupo live tangu jpil kuna semina alisema atakuwa anaachia kidogokidogo.
 
Huyu Askofu anaweza kuwa sahihi au anakosea ,lakini mimi naapreaciate watu wa namna hii,he has courage to rise a hand and speak his thoughts pamoja na hatari zozote au madhara anayoweza kupata KWA kushughulikiwa na watawala,he has qualities of a MAN
Courage ipi unayoisema?!

Yaani tatizo unaloona ni yeye kushughulikiwa na watawala badala ya ujinga anaowajaza watu?!

Issue hapa sio yeye, bali jamii !!

Lau kama haya angeongelea nyumbani kwake na familia yake, no one would care!! Juzi tu hapa, mdogo wangu aliibuka from nowhere na kunitumia message kwamba hawezi kuchanjwa, na yupo tayari hata kuacha kazi kama itakuwa lazima kwa watumishi kwa sababu chanjo ina madhara!!

Ushahidi alionipa kuhusu madai yake ni huu hapa...

Gwaj.png

Hapo juu nikabaki kucheka tu kwa masikitiko!

Na kwa kuonesha dogo yupo serious, leo tena akanitumia message...

Gwaj 2.png

Kwahiyo kujaza watu ujinga unaoweza kusababisha madhara kwa jamii KATU hiyo huwezi kuita courage kwa sababu, yeye ni rahisi zaidi kunusurika na hili janga kuliko wale anaowajaza ujinga!!!

Hiyo haiwezi kuwa courage at all coz' it's not about him but about the community which's full of ignorant people!!!

South Korea kuna Mchungaji mmoja aina ya akina Gwajima!! Google mwenyewe "Pastor Lee Man-hee of Shincheonji Church of Jesus" na utapata habari zake!!!

Huyu nae aliwajaza wafuasi wake ujinga, kuja kushtuka, 36% ya Covid-19 Infected People in South Korea walikuwa wafuasi wake, hadi serikali ikamburuza mahakamani, na mwenyewe kuamua kuomba msamaha!!
 
Kwani hoja zake anazozitoa ni kwanini msizijibu tu?
Hoja gani? ... hizo za kuchanjwa halafu mkaingizwa kwenye laptop halafu mnalipuliwa kwa 'remote'? 😅
... yaani hata nikiangalia movie ya 'science fiction' iliyotengenezwa kwa hoja za Gwajima nitaboreka vibaya maana ni 'COUNTERINTUITIVE' MWANZO MWISHO!
... HOTUBA NZIMA IMEJAA NADHARIA ZA DHANA DHANA MWANZO MWISHO HALAFU KUNA MIJITU INASIFIA ... NI MAMBO YA AJABU KUWAHI KUTOKEA ... INANIPA WASIWASI NA ELIMU INAYOTOLEWA NCHINI! ... VINGINEVYO MSHABIKI INABIDI AONNGOZWE NA IMANI ZA WAFUASI WA KIBWETERE!

1627634222075.png
 
Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.

Gwajima kamatia hapo hapo.

Msilojua ni kuwa, watu kama Gwajima walikuwa loyal kwa mtu(Magu) na si chama wala kiongozi wa chama au serikali na hawa bado wako wengi tu katika hii serikali ya Mama sema Gwajima kaamua kutojificha.

Inawezekana hata huu ubunge hana shida nao na ndio maana anafunguka kiasi hiki.
NTUMA YA GWAJIMA KUNA UTITIRI UNAMSAPOTI SUBIRINI MDA
 
Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona

---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,

kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Je ana akili timamu ?
 
Kwanza hiyo sio acc yake.
Pili jibuni hoja zake,kashawaambia umjibu kwa hoja sio kelele hizi.
Hoja zake ziko wazi
Taja hoja zake 3 hapa!! Na tunaposema hoja, lazima ukumbuke hili ni suala la kisayansi kwahiyo natarajia kusikia hoja za kisayansi!!!
 
We had a nice presentation on COVID-19 and CovVax today with some medical specialist from US. Nikiri kuwa, nimekua nikihimiza watu kukubali na kupokea Chanjo but as from now, sitofanya hivyo tena. I have just chosen to be a dumb Dr. I know it's against hypocratic oath that I pronounced to keep throughout my carrier but for the love of Humanity I prefer to shut up my mouth. Mwenyezi Mungu atuepushe na mabalaa.
 
Hoja gani? ... hizo za kuchanjwa halafu mkaingizwa kwenye laptop halafu mnalipuliwa kwa 'remote'? 😅
... yaani hata nikiangalia movie ya 'science fiction' iliyotengenezwa kwa hoja za Gwajima nitaboreka vibaya maana ni 'COUNTERINTUITIVE' MWANZO MWISHO!

View attachment 1873829
Akikutajia hizo hoja, naomba uni-tag tafadhali
 
Back
Top Bottom