Mbona wengine wakitoa maoni wananyakuliwa na polisi??!!Ni uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wengine wakitoa maoni wananyakuliwa na polisi??!!Ni uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
Kwa nini Rais awe makini nae wakati mbunge ni mtu ambae yupo huru kutoa maoni yake?Kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Anazidi kushindiliaMbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona
---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Ajabu sasa nenda YouTube ukasome hoja za wachangiaji ... utafikiri wameandaliwa na hoja zote ni za kumsifu mpwakwa mafuta wa bwana na kusifia misimamo feki ya homeboy wangu Jiwe(RIP)!Akikutajia hizo hoja, naomba uni-tag tafadhali
Yaani ukienda YouTube na Instagram ndipo utakapojua Tanzania sio ina binadamu bali ina viumbe wenye mikono na miguu miwili, macho na masikio mawali, na pua kama walivyo wanyama wengine wote wasio hata kindergarten classes!Ajabu sasa nenda YouTube ukasome hoja za wachangiaji ... utafikiri wameandaliwa na hoja zote ni za kumsifu mpwakwa mafuta wa bwana na kusifia misimamo feki ya homeboy wangu Jiwe(RIP)!
View attachment 1873843
Mungu atakuja kuihitaji damu yako mikononi mwake. Waokoe watu pale inapowezekana.We had a nice presentation on COVID-19 and CovVax today with some medical specialist from US. Nikiri kuwa, nimekua nikihimiza watu kukubali na kupokea Chanjo but as from now, sitofanya hivyo tena. I have just chosen to be a dumb Dr. I know it's against hypocratic oath that I pronounced to keep throughout my carrier but for the love of Humanity I prefer to shut up my mouth. Mwenyezi Mungu atuepushe na mabalaa.
Ngebe mie nahisi ww ni vyatu zombie! Kwani kakosea nini Askofu Gwajima?Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona
---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Mwambieee kachemkaaUsidanganye! Gwajima ni mtu wa video siyo hizo akaunti feki!
Gwajima kanyagia hapo hapo hakutishi mtu yoyote nchi hii,wanabweka bweka tu lakini wewe una watu. Hakugusi umbwa yoyote.Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima ameendelea kusisitiza kuwa viongozi na wananchi wanaohimiza watu kuchanjwa chanjo dhidi ya Covid19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo kwa sababu ya kile alichokiita chanjo hizo kuwa na madhara kwa binadamu na hazizuii maambukizi ya Corona
---
Nahisi kutakuwa kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Hata yule mkuu wa mkoa aliyetumbuliwa naskia alifurahi sana coz alisema asingeweza kufanya kazi na awamu ya sita kwa sababu alikuwa loyal kwa jiweHaya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.
Gwajima kamatia hapo hapo.
Msilojua ni kuwa, watu kama Gwajima walikuwa loyal kwa mtu(Magu) na si chama wala kiongozi wa chama au serikali na hawa bado wako wengi tu katika hii serikali ya Mama sema Gwajima kaamua kutojificha.
Inawezekana hata huu ubunge hana shida nao na ndio maana anafunguka kiasi hiki.
CCM mnavuna mlichopanda, hivyo msilalamike-ukipanda bangi, huwezi vuna mahindi.
All in all, hapo katuhumia uhuru wake wa kutoa maoni na kumuita mtu mjinga sio tusi.
Courage ipi unayoisema?!
Yaani tatizo unaloona ni yeye kushughulikiwa na watawala badala ya ujinga anaowajaza watu?!
Issue hapa sio yeye, bali jamii !!
Lau kama haya angeongelea nyumbani kwake na familia yake, no one would care!! Juzi tu hapa, mdogo wangu aliibuka from nowhere na kunitumia message kwamba hawezi kuchanjwa, na yupo tayari hata kuacha kazi kama itakuwa lazima kwa watumishi kwa sababu chanjo ina madhara!!
Ushahidi alionipa kuhusu madai yake ni huu hapa...
View attachment 1873818
Hapo juu nikabaki kucheka tu kwa masikitiko!
Na kwa kuonesha dogo yupo serious, leo tena akanitumia message...
View attachment 1873825
Kwahiyo kujaza watu ujinga unaoweza kusababisha madhara kwa jamii KATU hiyo huwezi kuita courage kwa sababu, yeye ni rahisi zaidi kunusurika na hili janga kuliko wale anaowajaza ujinga!!!
Hiyo haiwezi kuwa courage at all coz' it's not about him but about the community which's full of ignorant people!!!
South Korea kuna Mchungaji mmoja aina ya akina Gwajima!! Google mwenyewe "Pastor Lee Man-hee of Shincheonji Church of Jesus" na utapata habari zake!!!
Huyu nae aliwajaza wafuasi wake ujinga, kuja kushtuka, 36% ya Covid-19 Infected People in South Korea walikuwa wafuasi wake, hadi serikali ikamburuza mahakamani, na mwenyewe kuamua kuomba msamaha!!
Mbna mnateseka Sana wazee , yeye kasema chanjo ya Jonson Jonson ni miyeyusho , tofaut na chanzo zingine wanazopewa Wazungu ,....!! Akadai mje mtudhibitishie ubora wa hyo chanjo , na sio kuchanja watu alaf mnawasainisha fomu ya kujitoa endapo litawapata la kuwapata...badala ya kujibu hoja mnapiga kelele humu , pumbavu kabisaAskofu chidi katika ubora wake wa chokochoko[emoji16][emoji16]
Haya mfuate Mbowe ukakae nae segerea ili roho yako itulieNyumbu ni mama yako aliyekunyima malezi bora
Nyumbu ni mama yako aliyekunyima malezi boraHaya mfuate Mbowe ukakae nae segerea ili roho yako itulie
Kuchanja ni hiari na imani.Yaani ukienda YouTube na Instagram ndipo utakapojua Tanzania sio ina binadamu bali ina viumbe wenye mikono na miguu miwili, macho na masikio mawali, na pua kama walivyo wanyama wengine wote wasio hata kindergarten classes!
Huyo last born popote alipo mwambie anywe soda,nakuja kumlipia.Courage ipi unayoisema?!
Yaani tatizo unaloona ni yeye kushughulikiwa na watawala badala ya ujinga anaowajaza watu?!
Issue hapa sio yeye, bali jamii !...
Anatoa mtazamo wake kwani shida iko wapi?CCM wameparaganyika - Gwajima ni zao lao baada ya wizi wa kura kubarikiwa pale Kawe. haya hangaikeni naye huwenda ana hoja ya msingi, unaweza chanja ukajikuta baada ya miaka 10 unageuka zombi - teh teh teh