Uhuru wa maoni kutukana viongozi tena wa chama chake,nitashangaa kama viongozi wake watamwacha bila kumchukulia hatua yoyote,Huyu Sukuma gang kweli alikuwa muumini wa Mwenda zake.Ni uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru wa maoni kutukana viongozi tena wa chama chake,nitashangaa kama viongozi wake watamwacha bila kumchukulia hatua yoyote,Huyu Sukuma gang kweli alikuwa muumini wa Mwenda zake.Ni uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
ukipanda ganja huwezi vuna mchicha, sisi tulilaani sana Gwajima kupewa ubunge wa kawe, infact bora hata wangempa Benjamin Sitta ila Mwendakuzimu akaamua kumpa huyu kichaa wa sukuma gang. Kwanza huyu lofa hakuwa CCM tangu mwanzo anajulikana misimamo yake ya kisiasa. Namshauri raisi na CCM wamvue uanachama hatuwezi kuwa na watu wasio na adabu kiasi hiki.ukipanda bangi, huwezi vuna mahindi.
Kukosa ubunge kumewamaliza akili kabisa
yaniwewe ndiyo hamnazokabisa nani kaiba kura kwanini hamkumshitaki kuwa kawaibia? acheni ujinga tumieni akiliGwajima kaupata ubunge, na yeye akili kapeleka wapi? Majizi ya kura bana. Huyo Gwajima anawafungukia tu maana anajua mko madarakani kwa wizi wa kura, na sio kwa kura halali za wananchi. Hivyo kinachoendelea na show ya majizi ya kura.
yaniwewe ndiyo hamnazokabisa nani kaiba kura kwanini hamkumshitaki kuwa kawaibia? acheni ujinga tumieni akili
kama mlishindwa kushitaki basi mnatakiwa mkae kimya maana hamuna ushahidiTukashutaki kwenye hizi mahakama zilizokuwa zinaagizwa na dhalimu kubambikia watu hukumu. Huo wizi tumeuona kwa macho yetu na wala hatujahadithiwa.
Ukashitaki kwenye mahakama gani? Hapa tunaweka rekodi sawa.kama mlishindwa kushitaki basi mnatakiwa mkae kimya maana hamuna ushahidi
Umemsahau Chalamila aliyehimiza wananchi wake na mabango hata ya matusi haikuwa kauli ya bahati mbaya ileHaya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele....
Na kesi ya uhujumu uchumi ingemuhusuKwa sababu ni gwajiboy, vinginevyo Hadi sasa angesha kuwa gaidi na yupo ndani ya selo
Catabolism is high under high age. CCM is old now. Serious diseases such as diabetes, pressure, poor sight, etc ; seek refuge in it.Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.....
Anzakuzijibu wewe nasi tutafuatia.Kwani hoja zake anazozitoa ni kwanini msizijibu tu?
👊👊👊 hapo hapoGwajima kamatia hapo hapo.
Kwa hiyo demokrasia ni kukaa kimya kwenye mambo yanayoopingana utashi wako?Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele...