#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

Nahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,

kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Huyu Askofu anaweza kuwa sahihi au anakosea ,lakini mimi naapreaciate watu wa namna hii,he has courage to rise a hand and speak his thoughts pamoja na hatari zozote au madhara anayoweza kupata KWA kushughulikiwa na watawala,he has qualities of a MAN
 
Misukule yake IPO itamlinda, ndicho anachojivunia.

Bila kusahau @sukumagang .
 
AxVmM9o (1).gif
 
Asee unawezekana kuna kitu anakiona. Ingekuwa vyema kama angeenda ndani zaidi kueleza madhara kwa binadamu hasa ni yapi na nini kifanyike kama mbadara wa chanjo.
Kama kuna maabara pale kanisani kwake iliyofanya uchunguzi wa hizo chanjo, basi kweli kuna kitu vinginevyo ni porojo zile zile za kujifanya anafufua wafu...

Hivi zile simulizi zake za corona virus na 5G zimeishia wapi?

Thanks Facebook, wakaondoa post zake za kijinga kuhusu 5G na Corona, na cha ajabu watu walikuwa wanamuamini
 
Haya sasa, huyo ndio mbunge mliempata.
Tusilete uchama kwenye masuala ya muhimu Kama afya.maswali anayohoji niya msingi ,nikuulize Mambo ya kawaida Sana,chanjo maana yake Kinga dhidi ya huo ugonjwa,inamaana hata Kama utagusana na aliyeambukizwa unakuwa safe!,Sasa hii chanjo hata Kama utachanja bado unaweza kupata maambukizi!! swali hii ni Nini Sasa watu wanayolazimishwa kuchanja na mataifa ya nje na baadhi ya wa tz ambao hawa reason Mambo!?.
 
Nahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,

kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Utawadanganya ambao wanapenda habari za kusikia,ila tulioingia YouTube na kujionea live hakuna mahali kaisema serikali wala rais!kwanza kamtetea rais kabisa!
Acheni kupotosha jamani!
 
Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.

Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.

Gwajima kamatia hapo hapo.

Msilojua ni kuwa, watu kama Gwajima walikuwa loyal kwa mtu(Magu) na si chama wala kiongozi wa chama au serikali na hawa bado wako wengi tu katika hii serikali ya Mama sema Gwajima kaamua kutojificha.

Inawezekana hata huu ubunge hana shida nao na ndio maana anafunguka kiasi hiki.
Nakazia hapo uliposema hata huo ubunge hana haja nao .
 
Kwa hiyo Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Amri Jeshi Mkuu na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi akili zake zimeenda likizo ?
Kwa mujibu wa katiba akili za Rais zinapoenda likizo inamaana inabidi akae pembeni kwa sababu hawezi kutimiza majukumu yake.
Hiyo sio kauli ya kihaini ?
 
Back
Top Bottom