#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

Asee unawezekana kuna kitu anakiona. Ingekuwa vyema kama angeenda ndani zaidi kueleza madhara kwa binadamu hasa ni yapi na nini kifanyike kama mbadara wa chanjo.
Mwenzenu analikataa na kulizungumzia jambo hili katika perspective ya kibiblia/kiroho...

Kina Samia Suluhu Hassan na wenzake na serikali kwa ujumla na wananchi wengine wasioelewa wanalitazama ktk mtazamo wa kibinadamu na kimwili...

Hizi ni dhana mbili tofauti. Haziwezi kupatana hata kidogo...
 
Do you believe that? No coincidence to the powers ruling the world. And to the contribution of members of various faith. Don't have that perspective. Tz ni kubwa kuliko rais.
Yule muuaji wala hakusakamwa alikuwa akisifiwa tu,ni kwa sababu alikuwa mkristo mwenzao.
 
Please speak out. I am eagerly awaiting your testimony. Na kama haujala bado, ongea halafu uje nyumbani nikupikie kuku wa kienyeji asiyewekwa maji
 
Mbona mwenyekiti cdm kamwita mkuu wa wilaya mjinga masaa machache baadaye katiba nguvuni? Wakati jambo analolipigania lipo na linaungwa mkono na wengi?mkishindwa kutoa maamuzi kwa matusi kwa viongozi wa kitaifa basi arudishe kadi yetu
 
🤣🤣🤣🤣 Uhuru wa kikatiba. Gwajima hana shida na Ubunge
 
Huyu Gwajima na hao wanaomshabikia wanathibitisha madogo ya kaburu Botha kwa waafrika juu ya uwezo mdogo wa kufikiri.

Hebu tujikumbushe dingo la kaburu Botha hapa chini

“We are not obliged even the least to try to prove to anybody and to the blacks that we are superior people. We have demonstrated that in 1001 ways. If God had wanted us to be superior to the blacks, he would have created us all of a uniform colour and intellect.

“I believe that the Afrikaner is honest, God fearing person, who has demonstrated practically the right way of being.

“By now every one of us has seen it practically that the Blacks cannot rule themselves. Give them guns and they will kill each other.

“They are good in nothing else but making noise, dancing, marrying many wives and indulging in sex. Let us all accept that the Blackman is a symbol of poverty, mental inferiority, laziness and emotional incompetence.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…