johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Enhee, ameanza kujileta taratibu. Halafu asiseme viongozi wa dini, aseme viongozi wa dini tuliozuia sayansi kuchukua nafasi yake! Maana tunawajua waliozuia na waliohamasisha, asijiweke kwenye kundi lisilomuhusuAskofu wa kanisa la ufufuo na uzima ambaye pia ni mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana.
Gwajima amekwishavumbua chanjo ipi mbadala wa Astrazeneca?
Pia msitutoe relini wanyonge wanamuulizia mtetezi wao yuko wapi?
Kivipi ndugu,hebu fafanua zaidiHuyu huyu wale wanapinga na kumzuia mama wa watu asiwe Rais
Rafikiiiíiiiii...!!Kiongozi wa dini au mwanasiasa! Hapaswi kujiita kiongozi wa dini.
Kwani mwanzo kulikuwa na taarifa gani? Walikataa chanjo?Enhee, ameanza kujileta taratibu. Halafu asiseme viongozi wa dini, aseme viongozi wa dini tuliozuia sayansi kuchukua nafasi yake! Maana tunawajua waliozuia na waliohamasisha, asijiweke kwenye kundi lisilomuhusu
Nimekumiss rafiki, isikute uko kny mkesha kwa baba Askofu😂😂Rafikiiiíiiiii...!!
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana.
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha chanjo hizo hazina madhara kwa binadamu
Askofu Gwajima alikuwa anahojiwa na Esther Kahumbi wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!