Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss katangulia hope watu ujinga utawatoka sasa!..hebu sikilizeni msimamo wa Askofu Gwajima ktk video hapo chini.
..kwanini sasa ameanza kulainika kuhusu suala la chanjo?
Nimecheka sana Rafiki..Nimekumiss rafiki, isikute uko kny mkesha kwa baba Askofu😂😂
Ehee mara kageukaAskofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana.
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha chanjo hizo hazina madhara kwa binadamu
Askofu Gwajima alikuwa anahojiwa na Esther Kahumbi wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana.
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha chanjo hizo hazina madhara kwa binadamu
Askofu Gwajima alikuwa anahojiwa na Esther Kahumbi wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Huyu askofu hivi anaelewa kuna watu wamepoteza hadi wanafamilia 5 katika wiki 4 tu? Au anajitoa ufahamu anadhani yeye haitampata?Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye pia ni Mbunge wa Kawe amesema viongozi wa dini hawapingi chanjo ya Corona bali wanashangazwa kwa namna chanjo hiyo ilivyotafitiwa kwa muda mfupi sana.
Askofu Gwajima amesema watakubali kupokea chanjo endapo patafanyika utafiti wa kutosha utakaobainisha chanjo hizo hazina madhara kwa binadamu
Askofu Gwajima alikuwa anahojiwa na Esther Kahumbi wa BBC
Source BBC Dira ya Dunia
Maendeleo hayana vyama!
Gwajima tukipiga tena kura usitegemee kurudi mnafiki mkubwa wee
Kama upo bongo, hukutakiwa kuuliza hiloKwani mwanzo kulikuwa na taarifa gani? Walikataa chanjo?