Askofu Gwajima: Waafrika tumepitia taabu nyingi kuanzia Utumwa, ukoloni, magonjwa na umaskini tukashinda hata Corona haitatuweza

Si Kesha sema Korona ya Ulaya ni 5G,huku tuna 4G
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wachungaji wajanja wajanja wanaotafuta hela kupitia dini, tunahitaji kuwasikiliza kwa uangalifu mkubwa. Akiongea la maana lichukue. Akiongoe upuuzi ni kumwachia mwenyewe.

Kuna Askofu wa Kanisa moja la Kiroho kule South Korea aliwaambia waumini wake waondoe masks na wamsikilize yeye atakachowaelekeza. Matokeo yake, waumini wake ndio watu walioathirika kuzidi kundi lote. Mpaka leo, wengi walijilaumu kwa ujinga.
 
Hatuhitaji kuwasikiliza kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa Watu husema mara kwa mara kwamba "Mungu ameniambia..amenionyesha...amenifunulia n.k", kwa hiyo huyo Mungu huwatuma kwa Waafrika wenzao tu na sio Binaadamu wote?

Mimi nilidhani anakuja na ufumbuzi wa tatizo kwa Binaadamu wote wa Dunia kumbe ni yale yale ya ubaguzi na ubinafsi ya kusema "Waafrika"...ndio kusema kwake kuna Mungu wa Waafrika na Mungu wa Wazungu?
 
Gwajima ni mpuuzi na ni wa kuppuzwa. Wakati ugonjwa hahjaungia alidai kuwa hautaingia Tanzania na Cirana watakauka kwenye ndege kabla ya kufika Tanzania
 
Gwajima ukimsikiliza ana ka Ugenius Fulani ana kipaji Yule jamaa .Siyo mbovu kihivyo kichwani.Kichwani Kuna kitu
 
Kuhusu Corona Gwajima yupo very clear kasema tufuate Mambo ya wataalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…