Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Upareni iko mkoa ganiHuko ni upareni bwashee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upareni iko mkoa ganiHuko ni upareni bwashee!
Askofu Gwajima yuko mubashara Clouds tv akiongelea ugonjwa wa Corona na waandishi nguli Baby Kabaye na msaidizi wake Hassan Ngoma.
Gwajima anasema Corona ni tatizo litakalopita kama yale yote yalivyopita huko nyuma na watanzania wasiogope bali wasimame imara imara kwa sababu Mungu anatupigania, tena Mungu ni zaidi ya sabuni, maji na vitakasa mikono.
Gwajima anasema Wasukuma siyo wakabila ndio maana Ilemela imewahi kuwa na mbunge mchaga na Nyamagana imewahi kuwa na mbunge Mjaluo mh Wenje.
Ngoma anauliza Askofu Gwajima aliwahi kusema Makonda ana nguvu isiyojulikana nyuma yake, je ameishaijua hiyo nguvu inatoka wapi?......Gwajima anasema Makonda ni past tense kwa sababu alishamsamehe na anamuombea pia.
Maendeleo hayana vyama!
Mbunge wa Moshi mjini japhari Michael sio mchagaHahahaaaaa...........!
Kwani nani kasema siyo mkoa wa Kilimanjaro?
Milima ya upare!Upareni iko mkoa gani
Mwanzo alisema Corona haitafika Tanzania, waumini wake wakamshangilia, leo anasema itapita, hope wakimsikia watamshangilia tena!.
Sent using Jamii Forums mobile app
KumbeMbunge wa Moshi mjini japhari Michael sio mchaga
Msukuma kuwa mbunge wa migombani!
Chagga siyo kabila bwashee!
Hawa wachungaji wajanja wajanja wanaotafuta hela kupitia dini, tunahitaji kuwasikiliza kwa uangalifu mkubwa. Akiongea la maana lichukue. Akiongoe upuuzi ni kumwachia mwenyewe.
Kuna Askofu wa Kanisa moja la Kiroho kule South Korea aliwaambia waumini wake waondoe masks na wamsikilize yeye atakachowaelekeza. Matokeo yake, waumini wake ndio watu walioathirika kuzidi kundi lote. Mpaka leo, wengi walijilaumu kwa ujinga.
Kuhusu Corona Gwajima yupo very clear kasema tufuate Mambo ya wataalamuMungu huyo huyo unayemdharau ndo golden age ya wazungu walikua wanamtumikia na akawasaidia sana, na ndo wazungu wanawapelekea waafrika habari zake
Swali la kujiuliza kwa nin hasaidii waafrika Kama alivyofanya kwa wazungu, jibu ni rahisi Mungu anataka tutumie akili zetu na sio kwa miujiza
Tatizo lipo kwa watumishi Kama gwajima wameweka msisitizo kwenye miujiza na sio kwenye kutumia akili tatizo ndo lilipo anzia hapa