#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona...
Yeye keshachagua fungu lake la kutokuchanjwa aache kushawishi watu wengine wasichanjwe. Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Tangu nilipomuona yule daktari bingwa yule wa kike, Doctor Swai akieleza juu ya chanjo TBC , nilibaki mdomo wazi kwanini Gwajima aitwe mpotoshaji wakati na daktari aliongea Yale yale.

Mwenye hiyo clip anaweza iweka.Maana tunataka kuujua ukweli ili tuamue vizuri bila mihemuko Wala shinikizo.
 
Tukichanjwa wote Hatutaambukizwa ? ... Hapana bado unaweza Ambukizwa
Nikichanjwa Je niache kuvaa Mask?.. Unavaa Mask..
Gwajima yuko sahihi.Kama wanataka watu wawa-amini walete facts,sio mbwembwe na talalila zile zile za mabeberu,or else wanyamaze.

Tungewaona wenye hekima kama wangetuambie hizo chanjo zina nini,hiyo ni muhimu sana.Ilivyo sasa ni udaku tu.

Kwanza siku kumi na sita za kamati zisingetosha kutoa majibu sahihi kuhusu hizi chanjo,huu ni udanganyifu tu.
 
Gwajima anataka watu wafe sasa atakufa yeye kama Mwendazake.
 
Matatizo yote yalianzia hapa.CCM hawawezi kujitenga na hizi lawama.
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Yeye keshachagua fungu lake la kutokuchanjwa aache kushawishi watu wengine wasichanjwe. Kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
Hii ni debate wanaotaka chanjo vs wasiotaka chanjo.

hakuna anayekushawishi, watu wenye maono na uelewa mkubwa wanatoa hoja sisi audience tunaamua as long as una akili timamu ya kun'gamua.

binafsi sitaki chanjo na sio kwasababu Gwajima kaongea Mimi sipatani na tiba za hospitali mara zote najitibu mwenyewe.
 
Nitakuwa wa MWISHO kumuamini...kimtazamo huyu muasisi wa sukuma gang.

Mtumishi wa Mungu ni zaidi ya mbunge, waziri na raisi...akaukimbilia ubunge

Treni ya umeme, wazungu wanaleta tokea 2016, haijafika ipo inakuja tokea mbinguni.

Nitawahamishia wananchi wa Kawe, Alabama Marekani hawajahama,

Huyuuuu hakumfufua mwendazake, alimuacha aende, ilhali anajisifia anafufua.

Ni mtumishi feki na mwanasiasa uchwara.
Kibwetere wa Bongo..
Hivi Malone Askofu Mkuu Zakari wapi?

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Akili zinaniambia kwamba si lazima umuamini Gwajima 100%,ila kwa mtu mjanja na mwenye akili,hii inakuwa base for searching the actual truth.Usiamini kitu bila wewe mwenye kukihakikiaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…