#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

Pamoja na a number of offenses unazoweza kusanya/tunga/zungumza, still haitaondoa ukweli kuwa he is the only church leader ambaye si mnafk wala mzandiki.... Kathibitisha hilo kwa kusimamia alichoamini ni sahihi tangu mwanzo...
 
Askofu anafanya hivyo...Tena ingia sexhubb andika askofu....utamuona anavyojatika...ebu mwambieni aongee na hao wenye mtandao watoe hiyo clip maana baba Yuko mnyaMA KABISA
Still haindoi ukweli kuwa he stands for what he finds is true regardless who is against the truth!
 
Dalali la chanjo kazini! Hahahaaaa...
 
Mbona huyu jamaa ana uelewa mdogo,sio Chanjo zote za Corona zimatumia mfumo wa Mrna, Jonson and Jonson inatumia mfumo wa zamani
Johnson & Johnson vaccine uses the more traditional virus-based technology.
Mkuu wafuasi wa Kibwetere hawawezi kukuelewa.
Kwenda CTC kuchukua ARV za bure wanaenda kimya kimya, hawaulizi kama ni majaribio au feki.

Everyday is Saturday................................😎
 
Siku Wizara ya Afya itakapo tamka, kila mtu anaepata chanjo aache namba ya simu atarushiwa 10,000. Kuna watakaochoma mbili mbili.
 
Kweli kabisa, hadi waandishi walikosa msawali ya kuuliza.Maana kwa kuwasoma tu, tayari walikua na na majibu yao ya kisiasa [emoji28]
Na Dr akawapa za Gwajiboy.
 
Walengwa wa hizi hotuba za huyu “kiongozi wa dunia wa kanisa la ufufuo na uzima lenye takribani wafuasi milioni tatu” sio wafuasi wake wala watanzania bali ni mawakala wa chanjo na watengenezaji wake hususani zile zitakazopelekwa huko.

Tujalie wameshamsikia na kumwelewa na watachukua hatua stahiki kwa kadri mifuko yao itakavyoruhusu.

Uviko 19 na chanjo zake ni chakula kipya cha wanasiasa na manabii.
 

 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Mzee Mpili alikuwa nao....hawakumsaidia kuuzuia ule "mbichwa" wa Thadeo Lwanga.....

#TujitokezeniKuchanjwa
Ndiyo hivyo Gwajima aneshawatieni dole la kati na hamuwezi kumfanya chochote
 
Anatafutwa kusikika kuonwa, SADAKA na ZAKA tokea manufacturers na wadau wao zimmfikie...nyambafuuuuu!

Nasubiria atakavyogeuka na kuanza kuipigia debe.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
mpinge kwa hoja na sio chuki tu. Naona Administrator anachanganyanya hoja yangu na wengine. Hizi hoja zinahusuana lakini hazifanani! Naona kuna kasoro kubwa siku hizi JF. as if ni ma-agent wa serikali!
Kwani kuna sehemu nimempinga hapo mkuu???😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…