#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

#COVID19 Askofu Gwajima: Wapo waliochanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe. Sijachanjwa na haitatokea

We huna aibu kumuita huyu tapeli "tru prophet ".
Alidai anafufua wafu hali ya kuwa mama yake mzazi kafa na yeye katoa macho tu.
Amerekodiwa anamtafuna kondoo dakika 1 bila aibu. Anaishi kwa udanganyifu na kila mtu anaona we unamuita "true prophet "!?
Kweli nchi imejaa utopolo
Pamoja na a number of offenses unazoweza kusanya/tunga/zungumza, still haitaondoa ukweli kuwa he is the only church leader ambaye si mnafk wala mzandiki.... Kathibitisha hilo kwa kusimamia alichoamini ni sahihi tangu mwanzo...
 
Askofu anafanya hivyo...Tena ingia sexhubb andika askofu....utamuona anavyojatika...ebu mwambieni aongee na hao wenye mtandao watoe hiyo clip maana baba Yuko mnyaMA KABISA
Still haindoi ukweli kuwa he stands for what he finds is true regardless who is against the truth!
 
1. Tukichanjwa zaidi ya asilimia 80 tutakuwa na herd immunity ambapo maambukizi yatapungua sana na mwisho kuisha kabisa. Kama ilivyokuwa kwa ndui.
2. Unatakiwa kuvaa mask kwa sababu kuna wengi ambao wanaweza kukuambukiza. Tukumbuke chanjo haizuii kwa asilimia 100. Umezekano wa kuambukizwa upo lakini si mkubwa kama ulivyo kwa wasiochanjwa. Sasa hivi 99 % ya maambukizi mapya ni katika wale wasiochanjwa. Idadi ya wasiochanjwa inapokuwa kubwa ndio uwezekano wa kuambukizwa unavyozidi.
3. Natumaini unaposema maisha ya kawaida ni yale ya kutovaa mask? Kama ni hayo, utaweza pale idadi ya waliochanjwa wakiwa wengi.
4. Unaweza kuambukizwa Kama nilivyosema hapo juu. Lakini hata ukiambukizwa hautaathirika sana kama wale ambao hawajachanjwa. Hautahitaji oksijen au ventileta.

Ni ubinafsi uliokithiri kupima ubora wa kitu kwa namna unavyofaidikq wewe binafsi tu. Umuhimu wa chanjo sio tu kwa mtu binafsi bali pia kwa wale ambao hautawaambukiza.

Majibu haya ni kwa mbunge wa Kawe. Bado hatujasahau meli zetu za uvuvi na ambulance kila tarafa.

Amandla...
Dalali la chanjo kazini! Hahahaaaa...
 
Mbona huyu jamaa ana uelewa mdogo,sio Chanjo zote za Corona zimatumia mfumo wa Mrna, Jonson and Jonson inatumia mfumo wa zamani
Johnson & Johnson vaccine uses the more traditional virus-based technology.
Mkuu wafuasi wa Kibwetere hawawezi kukuelewa.
Kwenda CTC kuchukua ARV za bure wanaenda kimya kimya, hawaulizi kama ni majaribio au feki.

Everyday is Saturday................................😎
 
Siku Wizara ya Afya itakapo tamka, kila mtu anaepata chanjo aache namba ya simu atarushiwa 10,000. Kuna watakaochoma mbili mbili.
 
Tangu nilipomuona yule daktari bingwa yule wa kike, Doctor Swai akieleza juu ya chanjo TBC , nilibaki mdomo wazi kwanini Gwajima aitwe mpotoshaji wakati na daktari aliongea Yale yale.

Mwenye hiyo clip anaweza iweka.Maana tunataka kuujua ukweli ili tuamue vizuri bila mihemuko Wala shinikizo.
Kweli kabisa, hadi waandishi walikosa msawali ya kuuliza.Maana kwa kuwasoma tu, tayari walikua na na majibu yao ya kisiasa [emoji28]
Na Dr akawapa za Gwajiboy.
 
Walengwa wa hizi hotuba za huyu “kiongozi wa dunia wa kanisa la ufufuo na uzima lenye takribani wafuasi milioni tatu” sio wafuasi wake wala watanzania bali ni mawakala wa chanjo na watengenezaji wake hususani zile zitakazopelekwa huko.

Tujalie wameshamsikia na kumwelewa na watachukua hatua stahiki kwa kadri mifuko yao itakavyoruhusu.

Uviko 19 na chanjo zake ni chakula kipya cha wanasiasa na manabii.
 


Askofu Gwajima amewaambia wafuasi wake katika semina inayoendelea kanisani kwake kwamba wazipuuze taarifa zinazoenea mitandaoni kwamba yeye amechanjwa chanjo ya Corona.

Wapo wanaowaaminisha watu kuwa wamechanjwa na chanjo haijawaathiri kumbe wamechanjwa chanjo feki ili kuwashawishi watu wachanjwe" Askofu Josephat Gwajima

Gwajima amesema yeye hajachanjwa na haitatokea achanjwe.

Chanzo: Semina kanisani kwake




VIPANDE:

Safari hii watu watakufa kama mende
View attachment 1874166

Sisi hatuchanjwi, tutaishi na Corona


View attachment 1874169

Ni CHANJO FEKI, watakufa


View attachment 1875409
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata Mzee Mpili alikuwa nao....hawakumsaidia kuuzuia ule "mbichwa" wa Thadeo Lwanga.....

#TujitokezeniKuchanjwa
Ndiyo hivyo Gwajima aneshawatieni dole la kati na hamuwezi kumfanya chochote
 
WalletsWalengwa wa hizi hotuba za huyu “kiongozi wa dunia wa kanisa la ufufuo na uzima lenye takribani wafuasi milioni tatu” sio wafuasi wake wala watanzania bali ni mawakala wa chanjo na watengenezaji wake hususani zile zitakazopelekwa huko.

Tujalie wameshamsikia na kumwelewa na watachukua hatua stahiki kwa kadri mifuko yao itakavyoruhusu.

Uviko 19 na chanjo zake ni chakula kipya cha wanasiasa na manabii.
Anatafutwa kusikika kuonwa, SADAKA na ZAKA tokea manufacturers na wadau wao zimmfikie...nyambafuuuuu!

Nasubiria atakavyogeuka na kuanza kuipigia debe.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Back
Top Bottom