Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Two weeks laterJumatano sio mbali
Wamepita na vijanaTwo weeks later
Hili mimeliamini 100%Askofu Gwajima amesema hakubaliani kabisa na utekaji. Ameongeza kuwa watekaji sasa hivi waa ujasiri wa kukupigia simu na kusema watakuteka, na watu watakusahau.
Kuna watu wamekimbia nchi kwa kuogopa kutekwa.
Sa itakuaje???🤔