Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu atakatwa mapema Sana. Sijui Kama huyu ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
 
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.

 
Anataka kufanya ya Askofu Makarios wa Cyprus?
 
Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…