Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

kuna haja ya kusema wew unafaa sana kuwa kawe ili kufanya mabadiliko lkn walio kuwepo kwakweli ni maendeleo gani waliyoleta mpk sasa hakuna tunahitaji mabadiliko kwakweli kawe ...na wewe una faaa sana
Maendelea yanaletwa na mbunge au serikali wewe?
 
Watu wa kawe wamepata jembe aise Huyo mzee gwaj ni MTU makini saana anafaa kuongoza watu na kuwasaidia

Gwajima in MTU anayejitambua saana gwaj gwaj gwaj song a mbele aisee maneno ya watu hayafui dafu nakuaminia saana
 
Binadamu yeyote kama angali akiishi, ni busara Sana kuchunga ndimi zetu, na Mungu alivyo wa Ajabu ametuumba na kuturuhusu tuishi Kwa matabaka mbalimbali lakini ukweli usiopingika kwamba jamii yote tunategemeana

Ukitaka kujua kwamba tunategemeana bila kujali itikadi za vyama, Dini, ukabila, maeneo tutokayo, Jaribu kutokuuchunga mdomo wako uwe mlopokaji Tu, kwani iko siku utalia ukiyalilia uliyowahi kuyasema mwenyewe Wakati ukiwa umepandwa Raha za Wakati huo ukasahau kwamba dunia huzunguka

Mch. Gwaji Leo umechukua fomu ya ubunge, Basi kuanzia leo utambue mdomo unaweza kukuharibia usipate mtu wa kumlaumu!!

Kwani mtu hawezi kuwa mhubiri bila kuwasema wengine?
 
Akuna Cha kuchunga ndimi apa ! Pana po pinda Pana sawa zishwa , akuna kuogopa ogopa apa
 
Michezo yako ya kumwagiwa maji usitulee sisi wajuba.
Mwambie Gwajima hatabebwa na CCM wala wasukuma wenzake.Atanyolewa bila maji kwa kutumia panga.Mwambie Kawe sio Koromije.
usipoangalia utamwagiwa maji mpk kwenye mku#......
 
Kwani ukichukua fomu ni lazima uvae sare za Chama? Mbona Dr. Tulia amevaa nguo za kawaida tu na amechukua fomu.
Huyu ndiyo kwanza anajitambulisha ni kata ya wale maaskofu wa mahema ya maombezi na si makanisa.
 
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Gwajima amemtapeli nani. Leteni uthibitisho wa unachosoma. Hapa JF huwa tunatoa hoja zenye mashiko na uthibitisho sio uongo ambao hata huwezi kuuthibitisha.
Gwaji boy a.k.a Mchungaji UNO hatari sana.
 
Utakatwa wee eti kawe n ya mdee amezaliwa nayo hyo kawe au alishuka nayo kutoka mbingun achen ujinga huyo mdee amefanya nn zaidi ya kupiga kelele kutukana tu
Gwajima amefanya nini zaidi ya kumtoa-mba yule muumini wake?
 
Back
Top Bottom