Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Kwa sababu ww umeshazowea kubebwa na wanaume zaidi ya kumi kwa siku basi endelea na uboya wako hivyo hivyo ili uendelee kubebwa siku zote hadi ukiwa unakaa unajiharishia.
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Tuipime akili ya Magufuli kwa kumpitisha Gwajima awakilishe Chama hapo kawe

Tunaosomaga story za kijasusi kutoka kwa Patrick C K tunajua kinachoendelea kati ya CCM na CDM [emoji23]
 
Taasisi ya bunge inakosa hadhi Sana siku hizi, hata wacheza pornography wanathubutu kugombania uongozi?

Subiri tuone Kama Lumumba watampitisha mzinzi huyu tapeli anayewatapeli watu kwa mgongo wa dini
 
Taasisi ya bunge inakosa hadhi Sana siku hizi, hata wacheza pornography wanathubutu kugombania uongozi?

Subiri tuone Kama Lumumba watampitisha mzinzi huyu tapeli anayewatapeli watu kwa mgongo wa dini
Jamaa wa Mbogamboga watakua desperate sana wakihangaika na huyo mcheza Porn.
 
Back
Top Bottom