Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Aise nakupa pole maana hata Kama hutaki atashinda tu Kama wewe kwako hafai Basi kwa wengine anafaaa Mara Mia zote
 
Kawe wamepata mtu sahihi, hawatakiwi kufanya makosa zamu hii. Gwajima amekuwa mtetezi wa watanzania akiwa nje ya bunge. Akiingia bungeni itakuwa nzuri sana. Kawe msifanye makosa.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Kuna tofauti Kubwa sana kati ya kuwa ' Tapeli wa Kiroho ' na kuwa ' Mbunge wa Wananchi ' hasa katika Medani za Kisiasa Ulimwenguni kote tu.
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Gwajima amemtapeli nani. Leteni uthibitisho wa unachosoma. Hapa JF huwa tunatoa hoja zenye mashiko na uthibitisho sio uongo ambao hata huwezi kuuthibitisha.
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi.Lakini CCM Jimbo la kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani Ila anaafadhali kidogo.Kawe Ni ya Mdee
Wewe umesikia wapi; ukitumia akili yako japo hata kidogo utaelewa kwamba Gwajima anamtaji mkubwa sana wa watu kuliko Mdee

Sent from my HTC Desire 12 using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi.Lakini CCM Jimbo la kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani Ila anaafadhali kidogo.Kawe Ni ya Mdee
Utakatwa wee eti kawe n ya mdee amezaliwa nayo hyo kawe au alishuka nayo kutoka mbingun achen ujinga huyo mdee amefanya nn zaidi ya kupiga kelele kutukana tu
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Clemisha maisha, 2020 ya Gwaji
 
Kwani ukichukua fomu ni lazima uvae sare za Chama? Mbona Dr. Tulia amevaa nguo za kawaida tu na amechukua fomu.
Kila mtu ana maamuzi yake na watu tunatofautiana kama vilivyo vidole vyako kwa hiyo usimjaji mtu tafuta kingine cha kucomment.
 
kuna haja ya kusema wew unafaa sana kuwa kawe ili kufanya mabadiliko lkn walio kuwepo kwakweli ni maendeleo gani waliyoleta mpk sasa hakuna tunahitaji mabadiliko kwakweli kawe ...na wewe una faaa sana
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Hivyo hivyo utakavyodhani awe mwana chama asiwe mwanachama ndiyo ameisha chukuwa fomu ni wakati wa Gwajima kufanya yake kwenye jimbo la Kawe mbele ya wanawake.
 
Back
Top Bottom