Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Ubunge unapatikana tena kwa kishindo.
Huna hoja wewe nenda kaendelee na kazi yako ya kuwakatikia wanaume maana ndiyo ulichokizowea.
 
Hapa Jimbo la kawe linarudi Ccm
Hakuna ujanja maana Askofu anakubalika Sana kawe
 
Jamaa wa Mbogamboga watakua desperate sana wakihangaika na huyo mcheza Porn.
Halafu sijui mbogamboga wanna Nyota ya jehanam? Maana watu wa hovyo hovyo, madhulmati na wahuni hukimbilia huko! Kuna watu wa hovyo kabisa lumumba
 
Ndio somo analo wapa gwaji boy aka beach boy
Hahah afu mzee hebu angalia kwny profile zao hizo ID zote mpya zimejoin tarehe ngapi then utapata picha kwamba kuna INGIZO JIPYA kwa kazi maalum.
 
Halafu sijui mbogamboga wanna Nyota ya jehanam? Maana watu wa hovyo hovyo, madhulmati na wahuni hukimbilia huko! Kuna watu wa hovyo kabisa lumumba
Hahah daah kama wana nyota ya Jehanam na wakimuongeza Gwaji boy hapo team yao inakua PERFECTO.
 
Kweli mmekosa hoja, mwenye akili peke yake ndiye anaye weza kumwelewa na kumpongeza mzee Gwajima.
Namuelewa sana huyu mzee kwenye mambo yake huwa hakurupuki
 
Taasisi ya bunge inakosa hadhi Sana siku hizi, hata wacheza pornography wanathubutu kugombania uongozi?

Subiri tuone Kama Lumumba watampitisha mzinzi huyu tapeli anayewatapeli watu kwa mgongo wa dini
Ndo utakapo ona Sasa akipita sijuw utaweka wapi uso wako
 
Nawe kaoteshe kweny kabila lako
Tulishapita huko zama za ujima pambaneni nazo tupo tuna pambana na mataifa mengine uko bakini nyie sisi acha tupambane na Wazungu na wa China wa India nyiye bakini kwenye ujima!
 
VIONGOZI making huwa wanaleta Nchi makini isiyoo , Mambo ya Ajab
Hongeraaa Sana Bishop Gwajima kwa hatua yako ,Uamuzi Imala sanaaa
 
Back
Top Bottom