Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

kwanza Gwajima ameanzisha vita ya kuwabagua waislam kwa kuwaambia wazungu wasipokee wakimbizi wa kiislam huyu ni mbaguzi wa kidini hana sifa ya kuwa kiongozi wa umma!

nitaishangaa sana sisiem kama itawakosea heshima wapiga kura kwa kumpitisha tapeli huyu! sadaka hakuna waumini wana hali ngumu akili yake ya kitapeli ikamwambia akimbilie siasa!



 
Kwani ukichukua fomu ni lazima uvae sare za Chama? Mbona Dr. Tulia amevaa nguo za kawaida tu na amechukua fomu.
Duh!

Kuvaa hizo nguo kavunja sheria mahala fulani? Au ndio kizazi cha kuhoji na kukosoa tu?

Basi avae msuli au unaonaje mkuu?
 
Kawe wamepata mtu sahihi, hawatakiwi kufanya makosa zamu hii. Gwajima amekuwa mtetezi wa watanzania akiwa nje ya bunge. Akiingia bungeni itakuwa nzuri sana. Kawe msifanye makosa.
Kwani aliyepo sio mtetezi wa wananchi, hata hivyo hii ndio demokrasia.
 
kuna haja ya kusema wew unafaa sana kuwa kawe ili kufanya mabadiliko lkn walio kuwepo kwakweli ni maendeleo gani waliyoleta mpk sasa hakuna tunahitaji mabadiliko kwakweli kawe ...na wewe una faaa sana
Sio Kawe tu, ni sehemu gani Tanzania hii yenye maendeleo. Maji tu ya bomba ni shida halafu unazungumzia maendeleo.
 
Ameshindwa kuleta mabadiliko hapo kwenye kanisa lake jengo la ibada ni kama ghara la ugoro halipo ktk ramani kabisa, halafu kesho mmtume awe mbunge wa kawe mna akili kweli?
Hahahahahaha kweli wewe ndiyo fala namba moja jengo la kanisa na linahusiana nini na mambo ya siasa?
Nakushauri kaendelee kuchezewa na wanaume ili akili zako zirudi upya
 
Mwambieni wajuba wanasema atoe tena video nyingine yaani UNO PART 2.
Toa kwanza ww zile ulizocheza na familia yako wanaume tuzione tunaweza tukatoa posa tukuweke ndani uwe unatupa mauno maana unapenda kweli mambo hayo.
 
Back
Top Bottom