Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Sawa Malaya wa Dodoma umenena vizuri naona unasubiri kwa hamu kweli bunge lianze ukafanye biashara.
Mimi siyo malaya huyo askofu mla kondoo ndo malaya naona unamtetea maana anakutafuna hapa umetulia chali kifo cha mende
20200716_112116.jpeg
 
Dini na siasa ndio mnaona haiwezekani kuchanganya Ila dini na biashara ndio sawaeee hebu acheni unyanyembe siasa ni haki ya kila Mtanzania
Kuna kitu unakosa. Au uelewa mdogo au unafanya kwa makusudi.

Ni vibaya kuingiza imani kwenye siasa kwa vile madhara yake ni makubwa. Kuna imani za kidini na imani za kikabila. Madhara ya kuingiza imani kwenye siasa ni mabaya sana. Biashara au kilimo siyo imani bali ni activity.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anaenda kuiongozaa Kawe
Gwajima usisikie kelele za Watu we SONGA mbelee
 
UKIONA wivu juu ya Hilo KWA hasira na wewe unaenda kuchukua Form vyama vyote ,na unagombeeeeaaaa
 
Gwajima muacheni TU ,myaumiza kichwa Sana hamtamuweza amewazidi mbalii mno
 
Gwajima muacheni TU ,myaumiza kichwa Sana hamtamuweza amewazidi mbalii
 
‘…CHAGUENI HIVI LEO MTAKAYEMTUMIKIA… MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA (YOSHUA 24:15)
 
‘…CHAGUENI HIVI LEO MTAKAYEMTUMIKIA… MIMI NA NYUMBA YANGU TUTAMTUMIKIA BWANA (YOSHUA 24:15)
 
Sijaona sehem kwenye Bible makuhani wakishika nyadhifa za siasa na kuendelea kuwa makuhani, hii ni wazi kuwa gwajiboy amejiondoa kwenye ukuhani rasmi.
Mshamb ww ulishazowea kuona watumish wa mungu awajasoma lazima gwaj akushangaz
 
Una mwingine zaidi ya Daniel? Ndugu yangu yakupasa wewe ndio ukasome vizuri hizo habari za Daniel.
Angalia Daniel alikotoka hadi kwenda kupata cheo serikalini.
Na yusuph je? Akuwa kiongozi? Acha mawz mgando
 
Kuna kitu unakosa. Au uelewa mdogo au unafanya kwa makusudi.

Ni vibaya kuingiza imani kwenye siasa kwa vile madhara yake ni makubwa. Kuna imani za kidini na imani za kikabila. Madhara ya kuingiza imani kwenye siasa ni mabaya sana. Biashara au kilimo siyo imani bali ni activity.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona Kama ukielewi unacho kusema ? Umejikanyaga sana
 
Na yusuph je? Akuwa kiongozi? Acha mawz mgando
Najua hauna uelewa wowote ndo maana unaropoka na kutukana.
Yusufu hakuwa kuhani bali kijana aliyekuwa anamcha Mungu. Si kila mcha Mungu ni kuhani.
I hope umeelewa.
 
Back
Top Bottom