uchumi2018
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,085
- 2,996
nikitaja zote,wengine wataandika nini,kizuri kula na mwenzio.Inayofuata
nikitaja zote,wengine wataandika nini,kizuri kula na mwenzio.Inayofuata
Sio kwelinikitaja zote,wengine wataandika nini,kizuri kula na mwenzio.
Nasubili Kwa hamuWapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966
Wakanyagane tuKunazidi kuchangamka, safi sana.
Siyo kwa mlango huo wa siasa mkuu, ya kaisari yanazidi. Ana njia nzurii Zaidi ya kuwatetea tofauti na hiyo aliyo ichaguaKondoo ndio hawa hawa wanaotekwa na kuuawa
Weka ukweli,wewe mwenyeweSio kweli
Tusubiri tuone..Thubutu
The IDF soldierWapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966
SAWA kabisa, ila siyo kwa njia hiyo aliyo ichagua, hapo hana tofauti na mafarisayoKuna Amri 10 za Mungu, Gwajiboy alingelea moja inayolihusu taifa kwa sasa. Nayo ni "USIUWE" ambayo ni amri ya sita. Hiyo siyo siasa bali anafanya kazi ya Mungu.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya UlinziWeka ukweli,wewe mwenyewe
maana ukweli unasema ''usiue'' umeleta balaa kama la mesenja.
Kabisa.Wakanyagane tu
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.No reform no election! Kubabake ✊
Njia aliyotumia ni safi kabisa, anapaswa kusikika kwa taifa zima. Je wale waliompa mtu kisemeo akaita watumishi wa Mungu Mashetani kana kwamba yeye ndo mtoa hukumu ya mwisho. Gwajima anapaswa kusema yote bila kuficha. Watoto wamebaki mayatima sababu ya upuuzi wa mavyeo. Who cares mavyeo yao ya hapa duniani. UpuuziSAWA kabisa, ila siyo kwa njia hiyo aliyo ichagua, hapo hana tofauti na mafarisayo
Tuliza mshono, subiri moshi ufukeNa kanisa lishafutwa,kama yeye mjanja aende pale aone cha mtema kuni.