Full Blood Picture
JF-Expert Member
- Jan 7, 2021
- 4,476
- 9,583
Mafarisayo nayo yalikuwa na faida zao.SAWA kabisa, ila siyo kwa njia hiyo aliyo ichagua, hapo hana tofauti na mafarisayo
Mafarisayo nayo yalikuwa na faida zao.SAWA kabisa, ila siyo kwa njia hiyo aliyo ichagua, hapo hana tofauti na mafarisayo
Na nani?Kondoo ndio hawa hawa wanaotekwa na kuuawa
Unawajua?Na kikundi cha watekaji
Kondo wameipenda new chapterMwambieni Akumbuke na kondoo wake asiwe busy na siasa tu kila wakati
Uwe makiniHata wewe unawajua, wewe mwenyewe ni miongoni mwao
walivyo na akili zero, wanaweza fungis YouTube nzima .Wasije ifungia youtube tu
Naona Jerry Slaa anavyohangaika usk huu kuamuru YouTube ipigwe pin.... hata hvy nina imani Jasisi la Mbinguni lina plan B!!Wapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966
AKitapika nyongo hali sijui itakuaje? Sipati picha maana Gwaji Boy anapenda ligi nikikumbuka enzi ile na Bashite ilikuwa bandika bandua Mpaka Bashite alipoteana.Tumuombee uzima , ateme nyongo yote kwa ushahidi
NyooookoBongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee