mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,490
- 2,986
Wito kwa waislamu wote, inukeni mtetee imani yenu kwa nguvu zote, hii sasa ni vita ya kidini hakuna tena kusubiri, saa ni sasa
Na internet bundle.Tambo liwe na chaji tuu
Jaman watazima youtube ohoooWapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966
Azam TV tuko hapa kiwashekuna ile kampeni ya kwenye tv inaitwa KIWASHE
nimesahau sijui ni tangazo la nini![]()
Ni nyie ndio mlianzisha vita ya udini bwashee, kuna waislam wengi walikua upande wenu ila kwa sasa asilimia tisini wamerudi baada ya kugundua nia yenu ovuNaona unaleta vita ya udini kwenye mambo ya kitaifa
Sijaelewa mkuu; kwamba Waislamu wanaunga mkono utekaji na uuaji? Kifo cha yule sheikh wa Zanzibar na afande Kibao havina maana yoyote kwa Waislamu though hao watu walikua Waislamu wenzenu? Please naomba unifafanulie, sijaelewaHii ni ahadi tunaweka waislamu na tutawaonyesha mda ukifika,
Hii inchi haitatawalika kipindi atakapokua mtawala ni kafiri mwenzenu, kama mnavyofanya tutawanyia
Wito waislam woooote kuungana kipindi hicho
Kwa sasa ni Mama mpaka 2030 Mungu akipenda
Nia gani hiyo ovu? Yani kuhoji hatma ya taifa juu ya utekaji na watekaji imekuwa udini kwa sababu Rais ni muislamu? Kwa nini mashekh leo wamehoji na bado wataendelea kuhoji? Hii hoja yako ni very weak na umeileta maksudi kuparalyse kampeni ya upingaji wa utekajiNi nyie ndio mlianzisha vita ya udini bwashee, kuna waislam wengi walikua upande wenu ila kwa sasa asilimia tisini wamerudi baada ya kugundua nia yenu ovu
Vita ya udini ni haiepukiku Tanzania, kama si leo ni kesho
Kuna uwezekano mkubwa sana unafikiria Kwa kutumia makalio na sio ubongo! Aliewanyima elimu dunia aliwapoteza sana.Wakristo hata mfanye nini, Mama atatawala mpaka 2030 uhai ukiwepo
Pigeni keleleeee, jichosheni kwenye mitandoooo ila ndio hivyo tena
Hamna hoja ni udini na chuki tu zimewajaa
😀Hahaha😀 hahaaaaMapolisi yamepaki Maji kuwasha kanisan kwa pembeni eti yako Bize yamacheza Draft.
Haya majamaa yaungwe A.I
TAPELI wa gospel propagation na politics, na imeshakula kwakeWapenda haki kesho tumuunge mkono, kuna come back sio ya kitoto, yaliyofichwa yatafichuliwa, aliahidi kuwa atapigana hadi watekaji wajitokeze
View attachment 3359966