Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Jibuni hoja zake kuhusu utekaji na mauaji.TAPELI wa gospel propagation na politics, na imeshakula kwake
Jibuni hoja zake kuhusu utekaji na mauaji.TAPELI wa gospel propagation na politics, na imeshakula kwake
No reform no electionkwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
Kondoo hatuna shida nae,aendelee tu hivyo hivyo.Mwambieni Akumbuke na kondoo wake asiwe busy na siasa tu kila wakati
Tutaamuru kondoo wa bwana wapige vita na kuupinga kwa vitendo utekaji.Mwamba ataitetemesha nchi kesho, sema tuwe makini akionyesha kujipendekeza kwao tunamfyeka juu kwa juu
Nenda kalilie kule mbali kabisa.Na kanisa lishafutwa,kama yeye mjanja aende pale aone cha mtema kuni.
Lile dubwasha letu jinsi lisivyokuwa na akili!watafungia yutube muda si mrefu kwa kumwogopa gwajiboy
Huyo katumwa... mpuuzeni tu, yeye analeta udini wakati huku watu wanadiscuss maswala mengineKuna uwezekano mkubwa sana unafikiria Kwa kutumia makalio na sio ubongo! Aliewanyima elimu dunia aliwapoteza sana.
mh.. vita ya kidini kwa vipi?Wito kwa waislamu wote, inukeni mtetee imani yenu kwa nguvu zote, hii sasa ni vita ya kidini hakuna tena kusubiri, saa ni sasa
Hamna hoja zaidi ya hiyo,Kuna uwezekano mkubwa sana unafikiria Kwa kutumia makalio na sio ubongo! Aliewanyima elimu dunia aliwapoteza sana.
Siungi mkono dhulma yeyote iwayo,Nia gani hiyo ovu? Yani kuhoji hatma ya taifa juu ya utekaji na watekaji imekuwa udini kwa sababu Rais ni muislamu? Kwa nini mashekh leo wamehoji na bado wataendelea kuhoji? Hii hoja yako ni very weak na umeileta maksudi kuparalyse kampeni ya upingaji wa utekaji
Jibu lako limeleta maana mbili: umemuongelea pia Spika kwa namna anavyotetea utekaji.Tulia, anajua anachokifanya
Eleza ubaya wa njia aloichaguaSiyo kwa mlango huo wa siasa mkuu, ya kaisari yanazidi. Ana njia nzurii Zaidi ya kuwatetea tofauti na hiyo aliyo ichagua