Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

Sasa ni rasmi, vita ni wakristo na waislamu, tukutane kwenye box, atakaesusa ajue wenzie watakula
Hiloooooooo huo ni uchongnishi kwa kutaka kuhamisha mada ili iwe ni suala la dini ilhali Makalio yako yakijua si suala la udini lakini kama Nyegezi zimekupanda mbona Mapunda dume wapo tu wanasubiri kuparamia warembozi kama wewe.
 
Uchaguzi upo hata bila reforms
 
Siungi mkono dhulma yeyote iwayo,
Lakini hivi kuna mwenye ushahidi pasi na shaka Mama Samia anafanya haya?

Kwani tukisema ni chadema wenyewe wanafanya na ushahidi ukatolewa kwamba mara zote wao ndio wa kwanza kuleta habari wanazipata wapi? Au wanajuaje? Kama wao sio wahusika?

Tatizo lenu mnamuhukumu mtu na ushahidi hamna, sasa kama sio chuki na udini ni nini?
Usilete udini kwenye mambo ya msingi.
Ukristu na uisrmu zote ni dini za wakoloni.

Mungu wa kweli yupo na anaishi mioyoni mwa watu. Mungu hana dini au dhehebu. Tumuabudu yeye bila ugomvi.

Mudy na Issa wote ni mitume wa Mungu. Bahati mbaya mitume wa kiafrika hamna hata mmoja unaemjua.

Tisimame katika hoja, tisiegamize mada katika udini, tusijifiche katika dini. Tujibu hoja.
 
Wakristo hata mfanye nini, Mama atatawala mpaka 2030 uhai ukiwepo

Pigeni keleleeee, jichosheni kwenye mitandoooo ila ndio hivyo tena
Hamna hoja ni udini na chuki tu zimewajaa
Swala sio wakristu, swala ni huyo mama anatimiza yale watanzania wanataka?
Msijiegamize kwenye dini. Toeni hoja.
 
Back
Top Bottom