Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

Siyo kwa mlango huo wa siasa mkuu, ya kaisari yanazidi. Ana njia nzurii Zaidi ya kuwatetea tofauti na hiyo aliyo ichagua
Inaelekea wewe ni wale vijana wa 'bando', karibu jamvini.
Elewa tu kwamba hii vita sio ya mtu mmoja bali ni ya uma.
Waliua A. Kibao, Mdude?, na kupoteza wengi lakini bado moto uko pale pale
 
Subiri adimin wa JF awatonye CCM maana siri zinavujaga hapa
 
Kuna tetesi kuwa leo Gwajima ataongea au kutoa mahubiri kuptia youtube.

Ametoa tangazo lisemalo " The great come back"
Tuupe muda nafasi tujue kitakochojiri.

NrNe
Akikiwasha kitamuwakia mwenyewe CCM stays stronger.
 
Back
Top Bottom