Tetesi: Askofu Josephat Gwajima kesho ataongea anakuja na the great come back kupitia Yuotube

SAWA kabisa, ila siyo kwa njia hiyo aliyo ichagua, hapo hana tofauti na mafarisayo
Njia aliyotumia ni safi kabisa, anapaswa kusikika kwa taifa zima. Je wale waliompa mtu kisemeo akaita watumishi wa Mungu Mashetani kana kwamba yeye ndo mtoa hukumu ya mwisho. Gwajima anapaswa kusema yote bila kuficha. Watoto wamebaki mayatima sababu ya upuuzi wa mavyeo. Who cares mavyeo yao ya hapa duniani. Upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…