The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
View: https://youtu.be/Bi8UXltxoD0?si=wk0aI5aNZvrS8yUV
Very rhetorical statement kuhusu simulizi ya kihistoria iliyorekediwa katika Biblia yaani Neno la Mungu aliye hai kumhusu aliyekuwa Mfalme (Rais) wa Israel Ahabu..
Ilikuwa vile wakati ule. But it's very relevant to our nation or country's leadership situation today...
View: https://youtu.be/2E38RiuC-bk?si=OVPdxsZhKWtYOQci
Hapa JasusiTV anauliza swali relevant na statement ya Askofu Josephat Gwajima..
Shangilieni enyi mkaao katika nchi kwa kuwa wokovu na ukombozi wenu umewafikia..
Amina🙏🙏🙏
